Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Baada ya Balaza kutangaza Kuna watu wame Win na wengine wame Loose. Kwa maoni yangu the biggest Winner ni Mwigulu na the Biggest Looser ni Bashiru. Wachambuzi wa siasa maoni yenu yakoje?
 
Yule aliyejipendekeza kwa mama jana eti "mama aendelee muhula wa pili 2025 - 2030" bwana Ole Sendeka, vipi amekumbukwa!? Inaonekana alishanusa hii cabinet reshuffle so, alikuwa anatengeneza mazingira ya kukumbukwa nyang'au mkubwa yule.
 
Baada ya Balaza kutangaza Kuna watu wame Win na wengine wame Loose. Kwa maoni yangu the biggest Winner ni Mwigulu na the Biggest Looser ni Bashiru. Wachambuzi wa siasa maoni yenu yakoje?
Hao wote ni CCM hakuna jipya
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Winners wahuni na majizi ya ccm losers Tanzanians who are true patriots of our beloved country.
Baada ya Balaza kutangaza Kuna watu wame Win na wengine wame Loose. Kwa maoni yangu the biggest Winner ni Mwigulu na the Biggest Looser ni Bashiru. Wachambuzi wa siasa maoni yenu yakoje?
 
Namuonea huruma Bashiru, Paramagamba na Jafo.
Wamepoteza turufu walizokuwa wakilinga nazo. Hawaaniki tena mbele ya mama.
 
Baada ya Balaza kutangaza Kuna watu wame Win na wengine wame Loose. Kwa maoni yangu the biggest Winner ni Mwigulu na the Biggest Looser ni Bashiru. Wachambuzi wa siasa maoni yenu yakoje?
ndio walewale kasoro tarehe
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Tumuache mama rais atupeleke anapopataka
 
CCM wengi wanaelewa, shida ni baadhi ya watu wa upinzani waliotaka kujipendekeza, hapi zamani nilikuwa naona hadi wana CDM wamekomaa kusema "Tuna Imani na wewe mama...Ooh mama hawezi kutuangusha...Ooooh Sasa team msoga zamu yao[emoji28]"
its vice versa ya unachosema. yes makundi mengi hayamuelewi. walitarajia watu wao wawekwe pwale juu. lakin imekuwa ndivyo sivyo
 
ofisi ya Jafo

Uwekezaji imerudi chini ya ofisi ya waziri mkuu

Ummy mwalimu-tamisemi

Wizara ya fedha -mwigulu nchemba

Sheria- kabudi paramagamba

Mambo ya nje- balozi mulamula

michezo -naibu (gekulu) ulega amerudi mifugo

Afya- naibu wa pili Mwanaidi ally hamisi

Bashiru-mbunge wa kuteuliwa

Zingine zimebaki kama zilivyo.
Hivi huyo mulamula ndio akina muraa au
 
Back
Top Bottom