Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Ulitaka aanze kuvunja baraza lote la Mawaziri ndo mwelekeo uwe mzuri?Samia naona mwelekeo wake nae si mzuri ngoja tutazame itakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka aanze kuvunja baraza lote la Mawaziri ndo mwelekeo uwe mzuri?Samia naona mwelekeo wake nae si mzuri ngoja tutazame itakuwaje
Kuwarudisha watu walewale waliokuwepoUlitaka aanze kuvunja baraza lote la Mawaziri ndo mwelekeo uwe mzuri?
We ulitaka amweke naniMama ameanza vibaya, karudisha wahuni wale wale..
Kwann kiongozi ?Hautupendi wewe hahahaha
Aliyotufanyia magu yanatosha Sana tupumzikeKwann kiongozi ?
Eh kwan hamu mtaki GwajimaAliyotufanyia magu yanatosha Sana tupumzike
Kule ilikuwa lazima atoke. Watu unawaita mabeberu utakuwaje na uhusiano nao!?Kule mambo ya Nje Kabudi alikupenda sana
Hao wote ni CCM hakuna jipyaBaada ya Balaza kutangaza Kuna watu wame Win na wengine wame Loose. Kwa maoni yangu the biggest Winner ni Mwigulu na the Biggest Looser ni Bashiru. Wachambuzi wa siasa maoni yenu yakoje?
Baada ya Balaza kutangaza Kuna watu wame Win na wengine wame Loose. Kwa maoni yangu the biggest Winner ni Mwigulu na the Biggest Looser ni Bashiru. Wachambuzi wa siasa maoni yenu yakoje?
ndio walewale kasoro tareheBaada ya Balaza kutangaza Kuna watu wame Win na wengine wame Loose. Kwa maoni yangu the biggest Winner ni Mwigulu na the Biggest Looser ni Bashiru. Wachambuzi wa siasa maoni yenu yakoje?
[emoji23][emoji23]ndio walewale kasoro tarehe
its vice versa ya unachosema. yes makundi mengi hayamuelewi. walitarajia watu wao wawekwe pwale juu. lakin imekuwa ndivyo sivyoCCM wengi wanaelewa, shida ni baadhi ya watu wa upinzani waliotaka kujipendekeza, hapi zamani nilikuwa naona hadi wana CDM wamekomaa kusema "Tuna Imani na wewe mama...Ooh mama hawezi kutuangusha...Ooooh Sasa team msoga zamu yao[emoji28]"
Hivi huyo mulamula ndio akina muraa auofisi ya Jafo
Uwekezaji imerudi chini ya ofisi ya waziri mkuu
Ummy mwalimu-tamisemi
Wizara ya fedha -mwigulu nchemba
Sheria- kabudi paramagamba
Mambo ya nje- balozi mulamula
michezo -naibu (gekulu) ulega amerudi mifugo
Afya- naibu wa pili Mwanaidi ally hamisi
Bashiru-mbunge wa kuteuliwa
Zingine zimebaki kama zilivyo.
Losers ni wahuni kutoka twitterWinners wahuni na majizi ya ccm losers Tanzanians who are true patriots of our beloved country.