Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Tulikuwa na Rais local sana, anakula mahindi ya kuchoma barabarani, ananunua jogoo kwa mkulima, anakaa eti kwenye vijiwe vya kahawa.

Ushamba mzigo sana, tusirudi kule kamwe
 
Lijamaa lilikuwa linakopa mikopo ya kishamba and likiwa majukwaani linadanganya "Machinga" eti tunatumia hela yetu ya ndani
Huyo jamaa yako hata maana ya uchumi wa kati hajui, alikuwa anaropoka tu kama zuzu, Rais wa kwanza kufa akiwa madarakani, hiyo ndiyo rekodi pekee aliyoweka, STUPID HIM
Lilikuwa chaguo namba moja la ‘CCM’
 
Tulikuwa na Rais local sana, anakula mahindi ya kuchoma barabarani, ananunua jogoo kwa mkulima, anakaa eti kwenye vijiwe vya kahawa.

Ushamba mzigo sana, tusirudi kule kamwe
Alikuwa chaguo muhimu sana la CCM
 
Nyie Ni wapumbavu, Samia anajitambua msimfananishe na huyo chizi wenu mwenye Laana ya mungu ,

Acheni rais asafiri akakutane na dunia Nchi inufaike matahira nyinyi
 
Tulikuwa na Rais local sana, anakula mahindi ya kuchoma barabarani, ananunua jogoo kwa mkulima, anakaa eti kwenye vijiwe vya kahawa.

Ushamba mzigo sana, tusirudi kule kamwe
Hatuwezi kurudi Misri Mkuu, now on the way to Canaan, 2025 Mama atagombea na yeyote wa upinzani, 2030 hatutaweka mshamba tena
 
Hapo "Uhuru Mzalendo" ulipo vipi nafasi za kazi!? Mshahara ukoje pia!? Nataka nije kuomba kazi hapo ofisini kwenu.
 
Hapo "Uhuru Mzalendo" ulipo vipi nafasi za kazi!? Mshahara ukoje pia!? Nataka nije kuomba kazi hapo ofisini kwenu.
Hapa kuna Kazi za watu makini tuu kwa ajili ya kutetea chama sio dampo la mataahira hapa.
 
Achana na misukule ya dikteta kichaa ,watakuumiza kichwa,

WENGINE Chuki yao kwa Samia Ni sababu ya Iman yake tu,hawana lingine hao primitive
 
Nyie Ni wapumbavu, Samia anajitambua msimfananishe na huyo chizi wenu mwenye Laana ya mungu ,

Acheni rais asafiri akakutane na dunia Nchi inufaike matahira nyinyi
Wewe nguruwe Kama kufasiri ndio nchi kunufaika, safari 700 za kikwete Tanzania ingekua New York.

Huyo mungu atakaekua amemlaani magu atakua taahira kama wewe.
 
Huyu mama kwa kuzurura Watu wanaenda kujadili kupunguza viwanda yeye ana viwanda vingapi,yeye akazane kupanda miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…