Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Wameanza kudai Mikataba. Tukiitoa mikataba yote ya kaka yangu , PATAKALIKA hapa?Mbona hamkudai mkataba wa manunuzi ya ndege na Bei halisi??!
Umeambiwa wataingia kwenye mazungumzo,ambayo yatasimamiwa na pande zote ,kuhakikisha Kama tutanufaika vipi
Mbona hamkudai mkataba wa manunuzi ya ndege na Bei halisi??!
Bila Environmental and Social Impact assessment hii miradi itatuumiza huko mbeleni. Na terms za Mchina mara nyingi sio rafiki.Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara.
Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma na Linganga kuwa nao mazungumzo yanaendelea ili waone mwekezaji atatoa ngapi na Serikali ngapi ili kuweza kuendeleza mradi huo. Akaongeza kuwa chuma imepanda bei duniani hivyo ni wakatk sahihi wa Tanzania kuchamka.
View attachment 1830564
Pia soma:
Dah hii Sasa Ni round turn kwa mwenda zake
Hivi kuna haja ya kujua Bagamoyo ili kuelewa uzuri au ubaya wa huu mradi?Wewe hata Bagamoyo hukujui
Hili la bandari ya Bagamoyo lilikuwa ni suala la muda tu na haijalishi kama mradi utatuumiza au una faida. Hata haya mazungumzo ni suala la formality tu, uamuzi umeshatolewa. Wakati ndiyo utaamua ila mama anaingizwa kingi mbaya sana na atakuja kubeba lawama za vizazi vijavyo.Bila Environmental and Social Impact assessment hii miradi itatuumiza huko mbeleni. Na terms za Mchina mara nyingi sio rafiki.
Amandla...
Mchina ni mtu? Hana tofauti na Mwarabu. Hana utu anachojali ni anafaidikaje tu!Bila Environmental and Social Impact assessment hii miradi itatuumiza huko mbeleni. Na terms za Mchina mara nyingi sio rafiki.
Amandla...
Hili la bandari ya Bagamoyo lilikuwa ni suala la muda tu na haijalishi kama mradi utatuumiza au una faida. Hata haya mazungumzo ni suala la formality tu, uamuzi umeshatolewa. Wakati ndiyo utaamua ila mama anaingizwa kingi mbaya sana na atakuja kubeba lawama za vizazi vijavyo.
I wish Magu angefufuka tu...Kuuliza sio ujinga. Aliyekuwa Rais (JPM) na Makamu wa Rais SSH wakati ule waliukataa huu mradi. Miezi mitatu baada ya kifo Cha JPM , aliyekuwa Makamu wa Rais Kawa Rais anaukubali tena huo mradi. Je hawa viongozi wawili wakati wa uongozi wao walikuwa wanafanya maamuzi kwa kushirikiana?
Nimesoma taarifa kamili ya Rais nimeona ametumia maneno " kwa maslahi ya taifa "ila unisamehe tu, kwangu kiongozi yeyote wa CCM akitamka hayo maneno nakuwa mgumu kumuamini sababu wanapenda sana 10% na usiri kwenye mikataba.Tuna imani na serikali yetu adhimu ya BI MKUBWA kuwa itazingatia maslahi ya taifa, penye mapungufu itarekebisha penye maslahi itashadadia
Punguza uogaKilichobakia ndio kinamaliziwa maliziwa.
Wenye nchi wanakwenda kuwa watumwa kwenye nchi yao , amini nawaambieni.
Sijawahi kutilia Shaka hii statement yako. Nina uhakika hivyo ndivyo itakavyokuja kuwa. Nilisoma pdf moja hv ya jamaa nikastuka sana.Kilichobakia ndio kinamaliziwa maliziwa.
Wenye nchi wanakwenda kuwa watumwa kwenye nchi yao , amini nawaambieni.
Kwa hili nitasimama na Magufuli kila sikuUkisoma comments vizuri, utagundua kuwa watu hawataki kabisa kutafakari kwa undani ishu ya hii bandari badala yake wanakubali tu kisa itamkomoa magufuli.
Hi ni ajabu sana hii nchi tuna kazi ngumu sana.
Mkuu we unaamini kuwa mchina atajenga huo mradi kwa faida ya mtanzania?Ila hata mimi I dont trust these Chinese, najua mama anani njema ila kama kandarasi ya huu Mradi akipewa nchi nyengine kama za ulaya kutakuwa na unafuu kidogo
Binafsi naona maoni ya watu ni 50/50, coz swali la mkataba mpaka leo limekosa majibu.Ukisoma comments vizuri, utagundua kuwa watu hawataki kabisa kutafakari kwa undani ishu ya hii bandari badala yake wanakubali tu kisa itamkomoa magufuli.
Hi ni ajabu sana hii nchi tuna kazi ngumu sana.