Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

Makamba, mmeanza kuwapunguza mahasimu wenu kwenye kinyang'anyiro
 
Acha kuzunguka ukweli ni kwamba hana Akili pamoja na 'Doctorate' yake period.
mkuu huyu tumesoma nae kabisa ni Genius kweli ila labda ni ushamba flani tu unamsumbua kupewa vyeo vikubwa vimemzidi umri!
He is obsessed to become the Head of State!
 
Mi nadhani Tuache Kutumiwa…
Kama Mtu kafanya Kosa,Makosa Yaainishwe hapa,
Sio Lazima Kutaja jina Lake,
Kuna watu huenda wanaumizwa na Baadhi ya Vitu ambavyo ni vya Binafsi kwao,Hivyo wanaamua Kuwatumia watu kussma wengine!
Mabaya ya Mtu yawekwe hapa wazi!
Mfano Suala 1,2,3 Kwenye Budget au Jambo fulani,
Na Sio Issues general tuu over
Cc:Meku johnthebaptist
 
Leo unawasengenya San maafisa was serekali. Umeanza na makamu rais sas HV u umeamia kwa mawaziri

Ila kweli Kuna jitu lile linajifanya mzalendo kumbe Ni manafiki kiwango Cha sgr ameharibu uchumi wa wannch na hukui anachokifanya pale mpuuuzi San na simpendi Kama kbsa lolote limpate
 
Bora huyu kuliko mtoto wa mlamba asali.
Nimeunguza vitu vingi vya gharama kwa umeme wa kuja na kukatika kila mara.

Ila mama awafikirie wote wawili awaweke pema peponi kwingine. Huko kumewapwaya.
 
Sasa hivi anaongeza mabasi ya kichina baada ya kuifufua timu yake ya gozi la tembo
 
elboru?
 
Mwigulu kamatia hapo hapo Hawa ni majizi waliozoea kula pesa Sasa Mwigulu kawabana wanajikosha kwa kujifanya wanatoa ushauri..

Kama mna ushauri pelekeni Umoja Party
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…