Fumbo Mfumbie Mjinga Mwerevu Ataling'amuaWameweka ndoano ya hela hatimaye kanasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa masikini ni sawa na [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Ona chizi hili linapigia chapuo machanjo yenye sumu.Mimi nina mwezi na nusu tangu nichanje full. Naendelea kuvaa barakoa kwani najua chanjo si kinga asilimia 100. Ila ukichukua chanjo ukajumlisha barakoa, distancing , kujisanitize au kunawa unakaribia kabisa kujikinga kwa asilimia 100...
Hivi unashΓ ngΓ Γ nini? Hukuona jinsi Museven na Kagame walivyochanjwa hadharani ili kuhamasisha watu wao?hivi mataga ni nani aliewaroga?
DSM hakuna! InapatikanΓ kwenye vinywa vya wanasiΓ sa tu kwa mΓ lengo maalumu!!Amesema ni zaidi 100 hivyo hata maelfu ni zaidi ya 100. Kuna mikoa kama Kilimanjaro na Arusha Hali si shwari kabisa. Nasikia pia Mwanza bila kusahau Baba Lao DSM.
Acha kupotosha watu.....DSM hakuna! InapatikanΓ kwenye vinywa vya wanasiΓ sa tu kwa mΓ lengo maalumu!!
Kumuhusisha Mungu kwenye haya masuala ndio hupelekea kuonekana vituko kwa akina Kiranga, kuna waovu wangapi huku uraiani wapo hawajafa au Mungu kawashindwa kufanya kama alivyofanya kwa Magufuli?Magufuli kafa. Kwishnei.
Mwingine akijitokeza kuleta jeuri na kibri kama yake, Mungu hatamchelewesha hata mwaka!
Wamekufa mitume huko vipenzi vya Mungu we bado hukujua kama Mungu ni fundi?Mungu ni fundi haswa. Yaani Ile 17 March 2021 ni kumbukumbu isiyofutika kabisa.
Unaposema hauchagui unakuwa na maana gani kwani mwanzo corona ilikuwa inachagua kwa vigezo gani?Kweli kabisa mkuu....corona ipo watu wanaugua na wengine kufa kabisa. Almuhimu statistics zitolewe kwa public kama nchi zingine wanavyotoa...
Uliwashawishi kwa hoja zipi mkuu?Nimeshaliandaa BEGA langu KUCHANJWA.
Ninaisubiria kwa hamu siku hiyo ya KUCHANJWA...
Mkuu nilijaribu kuwaeleza kuwa CHANJO hiyo inapingwa sana na "conspiracy theorists" wa kiitwacho NEW WORLD ORDER....Uliwashawishi kwa hoja zipi mkuu?
Samahani ningeomba kuuliza, kabla ya kuchukua uamuzi wa kujitolea kushawishi watu kukubali kuchanjwa chanjo za corona je,uliwahi kushawishi watu kuachana na hiyo mikusanyiko ya kwenye viti virefu na sehemu zengine mifano ya hiyo hasa katika kipindi kama hiki?Mkuu nilijaribu kuwaeleza kuwa CHANJO hiyo inapingwa sana na "conspiracy theorists" wa kiitwacho NEW WORLD ORDER.
Nikawaeleza kuwa WATOTO WETU wanachanjwa chanjo tofauti dhidi ya KIFADURO ,DONDA KOO ,HOMA YA INI ,KIFUA KIKUU ,SURUA n.k....zote zinatoka huko NJE....kwanini tuzikatae hizi?...
Mkuu unanena yenye mashiko sana.Samahani ningeomba kuuliza, kabla ya kuchukua uamuzi wa kujitolea kushawishi watu kukubali kuchanjwa chanjo za corona je,uliwahi kushawishi watu kuachana na hiyo mikusanyiko ya kwenye viti virefu na sehemu zengine mifano ya hiyo hasa katika kipindi kama hiki?
Ndio alivyosema mama au mleta UZI kamnukuu vibaya?Chanjo ya covid 19 ni hiyari siyo lazima!!!
Rais amezungumza ukweli mchunguRais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.
Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari.
Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
---
Kuna wanaoona hatuko serious ktk mapambano dhidi ya #COVID19. Nilipoingia madarakani nilitamani tupambane na ugonjwa huu kama wanavyofanya mataifa mengine. Tanzania tuna wagonjwa zaidi ya 100 wenye #coronavirus #wave3, kati yao Wagonjwa 70 naa, wapo kwenye mitungi na wengine matibabu ya kawaida.
Tumeamua tukubali chanjo kwa walio tayari.
Tanzania tumeingia kwenye #COVAX community. Wataalamu wetu wanafanyia kazi Chanjo ipi inafaa kwa Watanzania. Kuna mashirika mengi wamejitokeza kutaka kusaidia Watanzania lakini lazima wataalamu wetu ndio watoe ushauri kitaalamu.
Sisi kama Serikali tunahimiza yale yanayoshauriwa na wataalamu; kama unaamini kwenye kupiga nyungu - wewe piga. Kila mmoja atekeleze wajibu wake. Jikingeni sana na wakingeni watoto.
Kwanini wanakukopesha pesa halafu wanakuuzia bidhaa(chanjo) za kwao?Mimi nina mwezi na nusu tangu nichanje full. Naendelea kuvaa barakoa kwani najua chanjo si kinga asilimia 100. Ila ukichukua chanjo ukajumlisha barakoa, distancing , kujisanitize au kunawa unakaribia kabisa kujikinga kwa asilimia 100.
Dunia ina lengo la kuukomesha ugonjwa huu. Katika lengo hilo ndipo zinakuja hatua mbalimbali ikiwemo kutoa fedha ili kuziwezesha nchi masikini ( Afrika) . Hata Ulaya zipo nchi zimewezeshwa kifedha ili kupigana na covid 19.
Wanaoona hizi fedha ni mtego ni wivu wao tu unawasumbua. Mbona hapo awali hawakusema ni mtego au kwavile zilichukuliwa kimyakimya zikawekwa mifukoni mwa miungu yao!
Mama endelea kuupiga mwingi. Unafanya kazi inayoonekana , siyo blabla tulizokuwa tunaimbiwa na wale watesaji.
Swadakta ππRais amezungumza ukweli mchungu
Wenzangu na mie ambao tulizoea kutouona umuhimu wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huu hapo awali nadhani sasa ni wakati wa kubadilika na kuukabili huu ugonjwa kitaalam na kiuhakika