PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM wameamua kumalizana na Gwajiboy kimya kimya. Jimbo hana. Ila mama kimemkaa kooni mpaka akatoa ya moyoni. Mama tutunzie siri khaaa🀣🀣🀣🀣.
 
Ni dhahiri yeye ndiye anayebariki uovu.
Tulikuwa na wasiwasi mwanzo ila Sasa kwa hizi tumejiridhisha ni yeye.

Sasa asubiri kichambo Cha Gwajima
Atamchamba ashangae πŸ˜‚πŸ˜Ή
 
Heheheeeee kuna bwana mmoja aliwahi kusema ogopa sana wanao kusifia na kukushangiria leo kwa sababu unawapa ugali.
 
βœ‚οΈβœ‚οΈβœ‚οΈ Gwajima tayari
 
Angalia Samia alivyofura kwa hasira!View attachment 3351087
Samia ni kiongozi mkuu lazima awakemee wapuuzi, ulitaka acheke? We ni zombie kweli. Hv ht akili kdg hauna? Samia ashindane na Gwajima? You must not be serious! Ushabiki mwingine lazima uwe mwendawazimu, Samia anaweza kumfanya Gwajima akakimbia hii nchi na hakuna ht mtu atakohoa, we hujui nguvu ya Rais wa nchi km yetu, sema tu mama yetu ni mcha Mungu wa ukweli, watu watumie hekima watumie hiyo nafasi vizuri. Huo ushabiki wenu haumsaidii chochote labda km ni mhusika ni mpumbavu
 
Kuna wamama wenzake hapo kwenye video Nimeona wametikisa vichwa kwa kusikitika ila mwishoni wamenyanyua bendera kwa sababu wengine wamenyanyua.

Kama wanawake wenzie wanaombeza kwa kauli za Rais kama hivi basi Tz tuna bahati mbaya zaidi kuwa na kiongozi wa Kariba hii. Ila Mungu atatenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…