PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vyote vipo maigizo yapo na kumaanisha kupo pia, maanda Tanzania ya sasa mbinu za kuwahadaa wananchi ni nyingi sana, lakini mpaka hapa tulipo Gwajima ni shujaa na watanzania wengi wapo nyuma yake
hivi wanasiasa huwa wanatuona kenge tusie na akili za kubaini abrakadabra zao?
 
Hapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
Mwenyewe GWAJIMA haautaki ubunge ndiyo maana ameweza kutoa kauli nzito kumbuka GWAJIMA yupo na watu nyuma yake ndani ya wiki hasa jumapil atatoa siri zingine ngumu mwambie mama ajiandae
 
Ubunge wa unafiki kujipendekeza tuwaachie akina Abas Tarimba na msukuma mazuzu chawaccm
 
kwa statement hii Bishop Gwajima ameangushwa vibaya sana, washampoteza kisiasa.
 
GWajima hatoboi kokote ishaisha kwa upande wake.
 
Alichokuwa anazungumza Gwajima kwenye press conference, ulisikia ? Kama ulikisia paka sasa hivi wamejibu hoja yoyote ? Kilichopo Kuna kukwepa hoja za mzingi
 
Rais ametoa ruhusa Amri watesi waonevu waanze kumwonea gwajima, kila mtesi hasa wale wenye Roho mbaya Kama IGP wenye Akili ndogo kama Amos makali madikiteta kama Bishungwa watafanya ligi ya kumyanyasa Gwajima ili wapate ujiko sifa kwa mama
 
Bishungwa na IGP Polisiccm na watesi wote wapo mbioni kuandaa mbinu haramu za kishetani dhidi ya Gwajima, hivyo ni vyema Gwajima awahi mapema awasomee Albadiri kubwa na maombi mengi makubwa visomo vingi ili wakipanga mipango miovu juu yake wapate laana na ubaya kuwarudia
 
Itoshe kusema hii ni hotuba ya mtoto wa darasa la 4 B!
 
Hakuna wa kupambana na mwenyekiti wa CCM nchi hii. Cha muhimu hapo Gwajima ajikatae zake na ku-focus na ishu za ufufuo.
cha muhimu ni wapenda haki wote kuwalaani ibirisi mashetani waliojazana ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…