PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Magufuli alihaidi Milioni 50 kila kijiji na hakuzigawa, kwahiyo Wagombea wa CCM kutaja vitu ambavyo haliwezekani ni jadi yao.
Marehemu hasemwi! Anasifiwa! Magu alijenga Viwanda kila Mkoa
 
Gwajima katimiza wajibu wake (hasa wa kichungaji), ujumbe imefika, na sisi wananchi tunao jitambua tumeelewa

Kunyamaza ni kusalimu amri Kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Hivi wanaopaza sauti za kushangilia Ccm baada ya kauli za kumdhalilisha Gwajima kutolewa, wanakuwa na uwezo wa kutathimin mambo na kauli kweli.
Ama kunakuwa na agenda nyingine!
Ukisoma tamthilia ya "Kivuli kinaishi" ndio unaipata maana ya kuwa CCM, ndani ya CCM ukiambiwa mchana nawe sema mchana, ukiambiwa usiku sema usiku, ukijaribu kusema kwa kutumia akili yako ndio unageuka "mtolewa" kama walivyowahi kuwa "Maalim Seif et al" na atakavyofanywa Gwaji boy.
 
Hahaha, matani tu πŸ˜€
 
Gwajima amekosea nini? Aliongea kama mwananchi wa kawaida kofia zake zote alizivua.

Kwa kifupi ashajulikana mwanasiasa gani anayemiliki GENGE LA WATEKAJI.

Bashite huwa anajitapa sana kwamba ana kazi maaulum aliyotumwa kuifanya ,ila huyu mtu kila akiteuliwa vitendo vya UTEKAJI vinaongezeka sana.
 
Hiyo kauli haikupaswa itoke kwa rais wa nchi yaani ni kama ametia muhuri rasimi wa KIFO Cha Gwajima.
Mungu Linda watetezi wa taifa hili dhidi ya kiongozi huyu dhalimu.

Hapo kaongea kama Mwenyekiti wa CCM πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Jiwe anakumbukwa na watanzania kuliko huyu Kiziwi wako..anaye poromoshewa matusi mpaka na Wakenya..
 
Ni kweli hiyo na sahihi? Tusipitishe watu wanosema ukwelu? Tupitushe tu machawa? Chama kitakufa muda si mrfefu na wananchi watakisusa na serikalu yake. Wananchi sasa wanefunguka macho. Tukilinde chama kwa kutenda haki jwa wananchi na sio kuwafanya wanaosema ukweli kuwa wahanga wa siasa, bila kujali chama ama itikadi Rais wangu omba msamaha kwa wanachama na wabanchi kwa kauli yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…