Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

Hahahahah

Enzi zile zimeshakuwa tbt

Nakumbuka mgombea Uenyekiti wa Serikali ya Mtaa sehemu fulani toka vyama korofi alipingwa kwa hoja hajui kuandika, alipotakiwa athibitishe aandike akatakiwa aandike 'Zwangendaba' alipokosea herufi moja akakatwa
 
Hiyo sheria ibaki hivyo hivyo, utagombeaje hujui hata kuandika majina ? Labda muundo wa tume ndio ubadilike , iwe "huru" kusema nani kakosea majina na nani kapatia🐒
 
Vipi hajahamia Dodoma tu? Maana kila Mara nasikia ikulu Dar es salaam.
 
Huyu mama ana maneno maneno lakini kiutendaji hamna kitu kabisa.Tusitamani kabisa 2025 agombee.Hatutafika popote kwa kuwa na rais goigoi hivi
 
Anajikooooo! Anajikosha! Anajikooooo, anajikosha!
 
Mbona fomu za Maghufuli zilijaa makosa lakini Mahera akazipitisha kibabe na hakutaka maswali ?!.

Makosa kwa upinzani tu.
 
Hilo doa kubwa sana kwa mziba nafsii huyu....2025 hapiti tena huyu...low IQ
unavyoongea utadhani unaijua nchi nzima vile, 2025 utaona maajabu anavyopita kwa 90%,we endelea kujidanyanya na post za kina kigogo,Sarungi na fatma Karume.
 
Mpinzani kugombea nchi hii ni hisani na siyo haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…