Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

Basi huko mtaani kwenu kuna Mabogus
 
Nilichojifunza ni kwamba, Mama anatafuta wa kufanana naye zaidi. Anapenda wapole wapole zaidi siyo wale wakali.
Hapo utajifunza hata kwa Mawaziri anaowateua, hata Makamu wake. Ni wapole wasioweza kukemea na wakaogopwa.
Hii kitu niliiona siku anawaapisha kina Col Abbas kuwa wakuu wa mikoa alikemea sana swala la uvaaji wa combat wakiwa ofisi za mikoa akidai wakirudi katika majukumu ya kijeshi watazivaa tu. Hakupendezwa kabisa na kauli Brg Gen Ibuge ambaye kwa sasa Maj Gen akiwa mkuu wa mkoa aliwakazia kwenye kikao then akasema mimi ni mwanajeshi.

Sasa hapendi ule ukali na waafrika bila kuwa hivyo hujengi nchi.
 
Punguza uongo anakubalika wapi? Si ni huyo alipigwa Chini ubunge Kigamboni Tena akiwa mtoto pendwa.
 
Acha kuropoka.
 
Hivi hapo ulipo utakuwa unaandika kwa emotion (hisia kali)hadi unalengwalengwa na machozi.You're completely finished!
 
Hivi hapo ulipo utakuwa unaandika kwa emotion (hisia kali)hadi unalengwalengwa na machozi.You're completely finished!
Umesema ukweli mtupu utadhani uko mbele yangu, unaniangalia. Kwa hali ya nchi yetu ilivyo sasa hivi, nina haki kabisa ya kuwa kwenye hii state ya hisia kali, kulengwa lengwa machozi na completly finished! Huo ndio ukweli kwani sisi wazalendo wa kweli hatukuamini kuwa nchi yetu ingeweza kupata viongozi hovyo kama ilivyo sasa.
 
Pole sana.Ndiyo mikogo ya maisha.Unexpected and total stranger at home!
 
No research no right to speak.
Rubbish
 
Mkuu tuna haki ya ku disagree,kangaroos courts hazina nafasi hapa kwetu,ila push back ni muhimu
 
Siasa siyo makelele ya wendawazimu. Siasa ni akili na mikakati.
Kwa hiyo hata Nchimbi na Mwenyekiti wa CCM wote hawafai?
Mnataka Chamani wakajazwe akina Makonda, Bashite, baba Levo, na wengineo wa aina hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…