Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

Wewe uzuri wa makobda ni amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji6][emoji6]
Watanzania Tumelogwa na nani sjui.
Yaani kichaa akipita mtaani anapiga kelele basi huyo mnamuona ni bonge la amsha amsha[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Siasa siyo makelele ya wendawazimu. Siasa ni akili na mikakati.
Kwa hiyo hata Nchimbi na Mwenyekiti wa CCM wote hawafai?
Mnataka Chamani wakazwe akina Makonda, Bashite, baba Levo, na wengineo wa aina hiyo?
Uliowataja wanafanyiwa kazi nzito na mwenezi . Kama ni barabara basi huyo ni buldoza. Wewe unataka kutudanganya tubaki na F M. ili mjinafasi. Waliogopa mdahalo wakatoa visingizio ya katiba mpya
 
Sasa sisi watz tupo serious na nini??? Hebu kuwa mkweli??? Hayo ya kina makonda ndo tunayaweza na kuyapenda
 
Msoga gang!
 
Kwa hakika unao upungufu wa uelewa wa kinachoendelea Tanzania.
Alichokuwa anafanya Makonda ni kuuhakikishia Ulimwengu kwamba Tanzania ni Nchi iliyojaa uonevu na dhuluma kwa watu walio wengi.
Mabango yote yaliyokuwa yanampokea Makonda yalikuwa yanailalamikia Serikali na Chama Tawala.
Halikuwepo Bango hata moja lililokuwa linaisifia CCM na Serikali yake.
Yote yalikuwa yanailalamikia.
Makonda alikuwa anakibomoa Chama cha CCM bila kujua.
Rais SSH ameliona hilo mapema.
 
Hiyo ratio ya 1:50 umeitoa wapi?
mI naona hata 1:100 haitoshi! Leo wanakusanyana wote wateuliwa lakini hakuna anae hangaika nao! Hata ofisini kwetu hapa hakuna kabisa hata aliyeulizia kuhusu Makala!
 
mI naona hata 1:100 haitoshi! Leo wanakusanyana wote wateuliwa lakini hakuna anae hangaika nao! Hata ofisini kwetu hapa hakuna kabisa hata aliyeulizia kuhusu Makala!
Si anakwenda Arusha, wanamuulizia huko?
 
Kaingiza waimba taarab na ndiyo watazidi kuharibu,majigambo ya kishamba kabisa eti wanajua mbinu mbali mbali za kuleta ushindi. Mtu anayejua mbinu hapigi kelele anakwenda kimya kimya kama mchwa. Hawa ni wajivuni tu hawawezi kumsaidia, sana sana watamjaza upepo naye afike mahali aanze kuropoka kama wao.
 
Hakuna mwenye akili anayemkubali Makonda.

Kumwona muuaji, mtekaji, mpotezaji watu na mporaji, ni binadamu afaaye kuwa kiongozi, ni lazima uwe huna akili kabisa.
 
Kama wale Wakurugenzi waliokuwa wanadaiwa hela na Wakandarasi na hawajalipa bila sababu za msingi,sasa hiyo nayo ni issue ya kwenda mahakamani!!
 
Yule makala akienda hata kkoo aitishe mkutano wa chama sijui nani ataenda kumsikiliza makonda akiibuka kkoo watu wakajua mwamba yupo pande furani anaweza kuondoka na kijiji.Leo wanajiita watoto wa mjini sijui kuzaliwa dar ndo kuna faida gani.
Yaani ukishaona mtu anajiita mtoto wa mjini ujue kabisa hakuna kitu hapo! Ujinga ujinga tu usiona na kichwa wala miguu! Sasa Makala ina maana hata Naibu Waziri Mkuu,Waziri mkuu na Makamu wa Rais wanawatukana maana wote ni watu wa kijijini!
 

Tunasubiri nchi itakapoongozwa na wapenda haki ili huyu mhalifu afikishwe kwenye vyombo vya haki.
 
Mbona ata Marekani na ndugu zake Israel na Uingereza wameua watu maelefu kuanzia Middle East mpaka Afrika lakini wanaonekana waheshimiwa mbele za nyinyi mambumbumbu wa Afrika mnaojiona mna akili.
Watanzania akili zetu ni average kushuka chini,hakuna nchi ya watu wenye akili ikawa masikini!!
Hakuna mwenye akili anayemkubali Makonda.

Kumwona muuaji, mtekaji, mpotezaji watu na mporaji, ni binadamu afaaye kuwa kiongozi, ni lazima uwe huna akili kabisa.
 
Mikutano ya Makonda ilikuwa ikisubiliwa kwa hamu na vijana kwa wingi mno, na wengi wakisema.... sasa ccm huwenda ikarudi kwenye enzi za kutetea walala hoi
 
Hi

Hiyo ndo maana yake. Tupo Watanzania wengi mno tunaomwamini Makonda. Huo ndo ukweli na utawatesa sana

Kusema wapo Watanzania wengi wanaomwamini, ni uwongo. Japo kuna watu ambao huwa wanayahusudu majambazi, lakini watu hao kamwe hawawezi kuwa wengi kuliko wanaoyachukia majambazi.

Ninyi mnaomhusudu huyo jambazi msiwaingize watu wema kwenye kundi lenu.
 
Yule makala akienda hata kkoo aitishe mkutano wa chama sijui nani ataenda kumsikiliza makonda akiibuka kkoo watu wakajua mwamba yupo pande furani anaweza kuondoka na kijiji.Leo wanajiita watoto wa mjini sijui kuzaliwa dar ndo kuna faida gani.

Leo hii atokee Hitler, wapo watu watatoka hata nje ya Ujerumani kwenda kumwona.

Kwa kawaida mtu mwovu husikika na kujulikana sana kuliko wanadamu wema.
 
Leo hii atokee Hitler, wapo watu watatoka hata nje ya Ujerumani kwenda kumwona.

Kwa kawaida mtu mwovu husikika na kujulikana sana kuliko wanadamu wema.
Na wewe kuwa mwovu ujulikane! Tulishawaambia kama mna ushadi nendeni Mahakamani tofauti na hapo ni makelele tu! Mfano Sasa hivi Wamasai kule Ngorongoro wanapitia masaibu makali sana ila mlivyo wanafiki hamuwezi kuongelea kazi yenu ni kuongelea uovu na makosa uchwara ya JPM na Makonda!
 
Kwa mara nyingine tena sukuma gang mmeshikwa makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…