Jamaa anakomaa kweli kuwa ma afisa wa serikali hawajaiba utadhani nayeye yuko kwenye huo mgao. Invoice imechezeshewa ndani hamna mtu anafanya ujinga na boeing. Hela yao italipwa USD 34 millions kisha hio USD 49M watu wanapeleka Pwani😀😀😀Kasema kuwa mabadiliko yamekuwa generated Tanzania na Watanzania na sio nje ya Tanzania au Boeing
Raisi mwenyewe anakwambia wanapokea direct invoice na umesikia akiita mradi badala ya kusema tume nunua. Sasa hiyo sio bahati mbaya kama nilivyokwambia awali manunuzi ya ndege mpya ulipaji wake ni sawa na building contracts.Si walitumia brokers kununua hizo ndege??you can fool some people for some time but you can not fool all the people all the time
Kwa hiyo ukiiba 37$mil Tanzania unapisha with impunity nothing happens to you and you can go to your village and graze your goats???You guy’s are joking??!!!right??Anasema watupishe wapungue wanataka kula nyingi hawa wameongeza urefu wa kamba sasa, 36 mpaka 87 hii kamba mboni kamba ndefu sana hii? Ameshtuka kamba imerefuka ghafla
Kiwango kilichopita 1.5 trillion go figure??!!Hahahahahah ila naamini hao thieves wana nguvu awamu hii tu maana awamu iliopita hawakuwapo kwa kiwango hichi cha sasa.
Hao walikuwa wasafi?...wewe ndiyo mavi kunuka...Unaondoa watu kama kina Kabudi, Lukuvi, Kalemani alafu unaweka yake mataktaka?
Mav. i matupu
Waduwanzi saana hawa, unaweza kuta watu wake wa ndani kabisa wanahusika.Unakuta Presida nae ana mgao wake ila wanatufanyia sanaa. 🤣🤣🤣
Ni kuwafuata huko huko, kukutana nao na kujenga nao undugubwa kinafiki ili uwe mmoja wao, ili mzigo kama huo ukitoka unashangaa simu inakuoa taarifa a/c imepokea mpunga.Hahahahah sawa mkuu, nakubali ila shida ni kuipata hio nafasi ya kuiba 110 billions sio rahisi.
Sasa inategemea alivyofanya huyo kibaka, mwizi mla nyama ni yule aliekamatwa na ngoziKwa hiyo ukiiba 37$mil Tanzania unapisha with impunity nothing happens to you and you can go to your village and graze your goats???You guy’s are joking??!!!right??
Kwani kuna mtu amewahi kutukana zaidi ya hivyo hadharani? Stupid ni tusi, ukitaka kujua ni tusi au sio tusi kamwambie mama yako au baba yako.Tusi liko wapi? Ama neno pumbavu/stupid wewe umetafsiri kama ni tusi?
Upumbavu ndio huo sasa,. Kila mtu kulalamika kama vile hajui cha kufanya. Jitu lina mshahara wa 25M kwa mwezi ila bado linataka liibe mabilioni.Akubali sasa kutengeneza mifumo imara ya kudhibiti na kuwabana watu wa aina hiyo. Kinyume na hapo, kila kiongozi atakayekuja, ataishia tu kupiga kelele na kutukana; halafu upigaji utaendelea kuwepo nchini kama kawaida.
Mlimsema JPM lakiniNaona Rais anaanza kuelewa kwamba Watanzania bila kupelekea kama punda Huwa hawaelewi ni wezi kuliko unavyodhani..
Ngozi would be who authorized the invoice please Tanzanian wake up???Sasa inategemea alivyofanya huyo kibaka, mwizi mla nyama ni yule aliekamatwa na ngozi
Hio kamba kuna watu hawafiki hata robo hio ni Kamba ndefu Ila huyu mtu utakuta anajiongezea kamba zingine, Ila kuongeza urefu wa Kamba tatizo ndio linaanzia hapoJitu lina mshahara wa 25M kwa mwezi ila bado linataka liibe mabilioni.
Anahisi kuna mchezo wa ndani kwenye overpricing that is unlikely.Kasema kuwa mabadiliko yamekuwa generated Tanzania na Watanzania na sio nje ya Tanzania au Boeing
You don’t create your own invoice, you receive it from a person who has performed obligatory task for you.Ngozi would be who authorized the invoice please Tanzanian wake up???
You receive the invoice and authorize it OkayYou don’t create you own invoice, you receive it from a person who has performed a task for you.
Mzee naomba connection ianzie kwako basi mkuu.Ni kuwafuata huko huko, kukutana nao na kujenga nao undugubwa kinafiki ili uwe mmoja wao, ili mzigo kama huo ukitoka unashangaa simu inakuoa taarifa a/c imepokea mpunga.
So ukikaa location za nyumbani tuuuuu ahahahaaa huwezi pata connection.
Yes who authorized the invoice ? Is he/she unknown ? That's the question and madam president said watupishe watupishe yaan watoke hao wapigaji waishie kunawa tu hakuna kulaNgozi would be who authorized the invoice please Tanzanian wake up???