Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Jamaa anakomaa kweli kuwa ma afisa wa serikali hawajaiba utadhani nayeye yuko kwenye huo mgao. Invoice imechezeshewa ndani hamna mtu anafanya ujinga na boeing. Hela yao italipwa USD 34 millions kisha hio USD 49M watu wanapeleka Pwani😀😀😀Kasema kuwa mabadiliko yamekuwa generated Tanzania na Watanzania na sio nje ya Tanzania au Boeing