Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Kasema kuwa mabadiliko yamekuwa generated Tanzania na Watanzania na sio nje ya Tanzania au Boeing
Jamaa anakomaa kweli kuwa ma afisa wa serikali hawajaiba utadhani nayeye yuko kwenye huo mgao. Invoice imechezeshewa ndani hamna mtu anafanya ujinga na boeing. Hela yao italipwa USD 34 millions kisha hio USD 49M watu wanapeleka Pwani😀😀😀
 
Si walitumia brokers kununua hizo ndege??you can fool some people for some time but you can not fool all the people all the time
Raisi mwenyewe anakwambia wanapokea direct invoice na umesikia akiita mradi badala ya kusema tume nunua. Sasa hiyo sio bahati mbaya kama nilivyokwambia awali manunuzi ya ndege mpya ulipaji wake ni sawa na building contracts.

Busara ni kusikiliza upande wa pili badala ya kuongeza porojo; hivi unadhani kungekuwa na middleman badala ya ku deal na manufacturer hizo Airbus engine mbovu ungewapelekea hizo kwa matengenezo.

Msipende kusikia vitu ambavyo tayari una majibu yake, get facts kwanza then amua..
 
Anasema watupishe wapungue wanataka kula nyingi hawa wameongeza urefu wa kamba sasa, 36 mpaka 87 hii kamba mboni kamba ndefu sana hii? Ameshtuka kamba imerefuka ghafla
Kwa hiyo ukiiba 37$mil Tanzania unapisha with impunity nothing happens to you and you can go to your village and graze your goats???You guy’s are joking??!!!right??
 
Hahahahah sawa mkuu, nakubali ila shida ni kuipata hio nafasi ya kuiba 110 billions sio rahisi.
Ni kuwafuata huko huko, kukutana nao na kujenga nao undugubwa kinafiki ili uwe mmoja wao, ili mzigo kama huo ukitoka unashangaa simu inakuoa taarifa a/c imepokea mpunga.

So ukikaa location za nyumbani tuuuuu ahahahaaa huwezi pata connection.
 
Kwa hiyo ukiiba 37$mil Tanzania unapisha with impunity nothing happens to you and you can go to your village and graze your goats???You guy’s are joking??!!!right??
Sasa inategemea alivyofanya huyo kibaka, mwizi mla nyama ni yule aliekamatwa na ngozi
 
Tusi liko wapi? Ama neno pumbavu/stupid wewe umetafsiri kama ni tusi?
Kwani kuna mtu amewahi kutukana zaidi ya hivyo hadharani? Stupid ni tusi, ukitaka kujua ni tusi au sio tusi kamwambie mama yako au baba yako.
 
Akubali sasa kutengeneza mifumo imara ya kudhibiti na kuwabana watu wa aina hiyo. Kinyume na hapo, kila kiongozi atakayekuja, ataishia tu kupiga kelele na kutukana; halafu upigaji utaendelea kuwepo nchini kama kawaida.
Upumbavu ndio huo sasa,. Kila mtu kulalamika kama vile hajui cha kufanya. Jitu lina mshahara wa 25M kwa mwezi ila bado linataka liibe mabilioni.

Ningekuwa raisi ninge standardize mishahara tu iwe Uniform. Degree 2.5M, masters 3.5M na PhD 5M. Nina hakikisha ninabana haswa haipotei hata 100 hapo.
 
Jitu lina mshahara wa 25M kwa mwezi ila bado linataka liibe mabilioni.
Hio kamba kuna watu hawafiki hata robo hio ni Kamba ndefu Ila huyu mtu utakuta anajiongezea kamba zingine, Ila kuongeza urefu wa Kamba tatizo ndio linaanzia hapo
 
Kasema kuwa mabadiliko yamekuwa generated Tanzania na Watanzania na sio nje ya Tanzania au Boeing
Anahisi kuna mchezo wa ndani kwenye overpricing that is unlikely.

Anahoji contractual obligations za serikali kama nilivyo sema awali price are rarely fixed on long term building contracts kama anavyodhani.

Busara na kusikiliza upande wa pili.
 
Ni kuwafuata huko huko, kukutana nao na kujenga nao undugubwa kinafiki ili uwe mmoja wao, ili mzigo kama huo ukitoka unashangaa simu inakuoa taarifa a/c imepokea mpunga.

So ukikaa location za nyumbani tuuuuu ahahahaaa huwezi pata connection.
Mzee naomba connection ianzie kwako basi mkuu.
 
Ngozi would be who authorized the invoice please Tanzanian wake up???
Yes who authorized the invoice ? Is he/she unknown ? That's the question and madam president said watupishe watupishe yaan watoke hao wapigaji waishie kunawa tu hakuna kula
 
Back
Top Bottom