Huo ni uzushi ambao hauna substance. Mmesingizia kuna hela nyingi imefichwa china, haya semeni ni kiasi gani mnajamba jamba tu. Mnasikiliza porojo za Zitto Kabwe a kisiasa ambaye hakuwa na ulaji kipindi cha JPM.Kiwango kilichopita 1.5 trillion go figure??!!
Mtihani kweli kweli 😂Na alitakiwa kuelekeza takukuru kushuhulika na wahusika upesi sana sio kulalamika kama raiya wa kawaida kabisa wa huko Pawaga.
Muulize Asad mwsalihina don’t think he had any hidden motiveH
Huo ni uzushi ambao hauna substance.
DuhhNa Lema ni juzi tu alitoa siri, kua ilibidi CDM na CCM waungane kumtoa Magufuli ili walambe Asali bila bughuzaa!!
😆😆😆 Jamaa wananyoosha kamba zao bila utaniKama alisema kwa utania,jamaa hawatanii.
Mshamba tu yule mhafidhina, alikuwa na chuki isiyomithilika. Ndio maana alitemwa sababu ya kujifanya much knows.Muulize Asad mwsalihina don’t think he had any hidden motive
Alikuwa hawajui ?Kuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Sasa utaenda wapi ndugu yetu.Hi nchi sio ya kukaa. Watu wana iba Ila hawachukuliwi hatua, imebaki maneno.
This is the most surprising saga in Tanzania you can steal with impunity???Yes who authorized the invoice ? Is he/she unknown ? That's the question and madam president said watupishe watupishe yaan watoke hao wapigaji waishie kunawa tu hakuna kula
Mjinga weweMshamba tu yule mhafidhina, alikuwa na chuki isiyomithilika. Ndio maana alitemwa sababu ya kujifanya much knows.
Kwa hali hii hatutaweza kuendelea kama nchiTatizo àkiaanza kuwashuhulikia vinakuja vijitu vinaanza kuleta Mambo sijui haki za Binaadamu na ujingaujinga mwingi tu!!
Mjinga ana miguu mingapi? 🤣Mjinga wewe
Majizi tupuKazi iendelee!View attachment 2570207
Alafu mwizi wa kuku anafungwa miaka 6 jela stupid kabisaHivi kweli from 37 to 86$ kweli? Hapana aisee, viongozi wa hili taifa kuweni na huruma wananchi wanaishi kwenye tope la ufukara.
Ndege haiwezi kupanda bei kiasi hiki sema tu hawa wajuba wamemzoea Rais kupita kiasi jamani, inafika wakati unajiuliza nchi yetu inaenda wapi?
Kwa mfumo huu kama mwalimu anapewa laki tatu anaoga vumbi la chokaa la kutosha huku kiongozi anatembelea VXR V8 ya millioni mia saba, anapiga pesa za umma millions of dollars halafu akija anasema CCM oyeeeee! [emoji22]
Amewahi kumtukana prof Adolf Mkenda akiwa waziri wa kilimo mbele ya Rais Mseven hivo hivo " stupid"Leo Rais Samia amekasirishwa sana na hotuba ya wizi wa mali za umma baada ya uwasilishaji wa CAG na TAKUKURU ikabidi aseme pumbavu na kisha kurudi na Kingereza 'stupid'.
Sikuwahi kujua kama ipo siku moja Rais Samia Suluhu Hassan awe na hasira kali kama hizi.
USSR
UdiniMshamba tu yule mhafidhina, alikuwa na chuki isiyomithilika. Ndio maana alitemwa sababu ya kujifanya much knows.