Tatizo hawezi kujibu ukweli amelemewa 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wewe uliyesema niache ujinga wangu hili ndilo tusi Ndugu yangu.Lakini nakuomba Kaka usiwe mpofu wa fikra kwa kufungwa upande mmoja tu.Kwaupande wako Saikolojia yako inafaa ufanyiwe ushauri nasaha,umeishavurugwa.
 
Ameandika nn ? Cjasoma
 
Matusi na uongo ndio unaita UKWELI? Kweli wewe unamatatizo makubwa sana.
uwongo ni kile msichokitaka uzuri majibu yapo mtaani mmeshidwa vibaya mno aibu aibu imewafunika mmeanza tumia nguvu na ubabe...tamaa imewaingia nawaambia dhambi ipo upande wenu mauti yapo karibu...
 
Anatukanwa au anaambiwa ukweli, Tatizo la CCM huwa wanapendwa kusifiwa tu kama wewe Unavyosifia hapa. Alafu nasikia kuna ajira nyingine daily unalipwa 50k kuwapamba Watawala.
Akutukanwa sheria ichukue mkondo wake otherwise anaambiwa ukweli ndo maana sheria haiwakuti wenye hatia
 
Jambo muhimu na la maana zaidi ni kuongeza bidii zaidi mama, tunaokusaidia, wana ccm, wananchi na waTanzania wanakuelewa vizuri sana katika jitihada zako, wanakubaliana na mipango mikakati ya serikali yako sikivu na kwakweli wanafurahia matunda na matokeo ya mipango ya serikali yako.....

Mungu akubariki sana kiongozi wetu madhubuti na kipenzi cha waTanzabia Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Je angeitwa chura kabla ajajiita mwenyewe ingekuwaje?
 
CHADEMA wamepoteana baada ya kurushiwa makombora Mazito Mazito.kishindo chake tu kimewasamabratisha kabisa huku mitaani. Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe
 
Machozi yawabubujika watanzania!
 
Wanaomtukana RAIS walaaniwe. Ila wanaosema ukweli Kwa mstakabali wa taifa wabarikiwe wataiponya nchi. Nia yetu ni kugawana keki ya taifa. Siyo wanaosema wanalamba asali (Jamani si tunalamba asali? Makamba voice). Mtu ale Kwa urefu wa kamba yake (Somebody voice) hapo no no no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…