Kijana aliyezaliwa mwaka 1990 ambapo sasa hana miaka 32 wengi wa hili kundi wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira,uchumi usioimarika,kukosa kazi rasmi na sio wao pekee wakubeza mambo ambayo kwa upande wa Serikali hayaendi sawa,[emoji818][emoji817]"Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo,"- @SuluhuSamia
Tunachojua..Kijana aliyezaliwa mwaka 1990 ambapo sasa hana miaka 32 wengi wa hili kundi wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira,uchumi usioimarika,kukosa kazi rasmi na sio wao pekee wakubeza mambo ambayo kwa upande wa Serikali hayaendi sawa,
Waliozaliwa 1990 ni watoto??!
Vijana wenyewe sasa wa moaka 90 mnaweka battle hadi na rais🤣🤣😂Hoja ya kujitetea ipo shallow sana, haina nuance.
Na hakuna atakayemfanya lolote.Jamani huu mbona siyo mpasho. Hakuan mipasho hapa bali ni dharau. Anajua wananchi wengi ni mazuzu.
AiseeeMama Samia ana point,
Na hao watoto wala hawajui treni inafananaje!