Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu hata apewe miaka 40 hakuna cha maana atafanya zaidi ya kusafirihatutaki kulingana na marekani, tunataka kulingana na indonesia tulio kuwa nao sawa kimaendeleo miaka ya 60
uongozi wa mfano wake hata wapewe miaka 200 hawawezi fikia maendeleo ya marekani achana na china, india huko
Kwa hiyo uongozi apple mamako? Huyu mama anajitahidi sana, ndani ya muda mfupi amefanya mambo makubwa. Hizo hizi chuki mpelekee mamakohatutaki kulingana na marekani, tunataka kulingana na indonesia tulio kuwa nao sawa kimaendeleo miaka ya 60
uongozi wa mfano wake hata wapewe miaka 200 hawawezi fikia maendeleo ya marekani achana na china, india huko
Anapotoa mfano wa USA wa miaka 200 asisahau na mfano wa Korea ya Kusini, Singapore, Malaysia, Indonesia hawa tulikuwa nao sawa kimaendeleo na tulipata nao uhuru pamoja miaka 60 iliyopita."Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma, ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo”
Rais Samia.
View attachment 2453377
Ghana ina madini mafuta nk ila imefilisika kwasbb ya madeni sie Tz tumshukuru Raisi wetu hatujafikia hiyo ahatuaUnachekesha kweli.
nchi yetu tukisema madini tu dili nayo tushafika mbali.
hapa tuna kila tu ila ccm inatuona mazwazwa
Huyu Rais kilaza kweli, Nyerere na Lee walikuwa darasa moja Edinburg, wote wakarudi kuwa Rais, mkusanyiko wa vijiji vya wavuvi imekuwa FIRST World; ile Dar iliyojengwa na waarabu imekuwa Third World hadi leo; applies to Malaysia, ROK na hata Thailand. Bash this defacto President"Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma, ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo”
Rais Samia.
View attachment 2453377
Ghana ina madini mafuta nk ila imefilisika kwasbb ya madeni sie Tz tumshukuru Raisi wetu hatujafikia hiyo ahatua
Nani ajiudhuru hapa Tz you are living in utopian world, unalinganisha kiangozi wa uingereza na Bongo kijana utapata stress bure na pressure mwishowe utakufa depressed person.Tanzania itaendelea akipatikana Rais wa kuanzia 90'S
Marekani hakukuwa mafisadi wa kujilimbikizia Mali,
Viongozi waliongia madarakani waliongia kwa lengo la kutatua shida za wananchi and not otherwise.
Ndio maana viongozi kama Former PM Boris wa UK he carried his responsibility kwa kujiudhuru baada ya kushindwa kutatua shida za wananchi wa UK
Huku kwetu bonde la Ihefu limepungua kutoka square meter 83,000 mpaka 10,000 na hakuna mtu atakaewajibika.
It's complete shame, seemingly that things Will change.
My fellow 90'S tuendelee kupinga tu[emoji2955]
kweli mkuu ndani ya muda mfupi deni limepaa hadi bili 90+, amejitahidi kwenye nini ama kutuletea vichwa vya mtumba kwenye tren mpyaKwa hiyo uongozi apple mamako? Huyu mama anajitahidi sana, ndani ya muda mfupi amefanya mambo makubwa. Hizo hizi chuki mpelekee mamako
😀😀😀Kusafiri na Ugali maharage kwenye train ndiyo maendeleo yenyewe..Waha njooni mtupe ushuhuda wa "maendeleo makubwa" kwenye uwekezaji wa reli...maana tumeambiwa ninyi ndio mnajua tulipotoka hasa kwenye shirika la reli
Ghana nchi inafilisika hukokweli mkuu ndani ya muda mfupi deni limepaa hadi bili 90+, amejitahidi kwenye nini ama kutuletea vichwa vya mtumba kwenye tren mpya
Nyerere alituachia umasikini Mkapa katuletea mafisadi kikwete kaendeleza yale yale nyie mnataka awamu ya Mama ndo ibadili hi nchi sugu tayariHuyu Rais kilaza kweli, Nyerere na Lee walikuwa darasa moja Edinburg, wote wakarudi kuwa Rais, mkusanyiko wa vijiji vya wavuvi imekuwa FIRST World; ile Dar iliyojengwa na waarabu imekuwa Third World hadi leo; applies to Malaysia, ROK na hata Thailand. Bash this defacto President
Hata asipo safiri hawezi na hawezi tena.Huyu hata apewe miaka 40 hakuna cha maana atafanya zaidi ya kusafiri