Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

ngoja tusubiri tangazo la waziri kuwakanya wanaochepusha majii mto ruvu
Sasa hivi Waziri, Wizara na Mamlaka husika inajiandaa kuja kufanya 'Counter' juu ya hii Taarifa yangu ( Uzi wangu ) ila nashukuru kupitia Uzi wangu huu huu kuna Mtu Mmoja kati ya hao Watano ninaowajua ameshatajwa na Mchangiaji Mmoja.

Silaha yangu Kubwa ni Kujiamini 100%
 
Naendelea Kusisitiza Kwako Mkuu kuwa amini nilichokiandika kwa 100% kisha niamini nami pia GENTAMYCINE kwa 100%.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Mkuu
Mto Ruvu ni mrefu, wewe unazungumzia sehemu ya mto huo iliyo karibu na bahari maeneo ya Bagamoyo ambako huko maji huingia baharini hivyo hakuna shida yakitumika kwa umwagiliaji..
Maeneo ya Mlandizi kurudi nyuma kwenda Morogoro kwenye chanzo cha mto huko hakufai kilimo cha umwagiliaji kwa water pump kubwa au hata za 3" kwa sasa.

Usiweke siasa kwa kila jambo usilolijua kwa undani. Mengine inabidi usome au kusikiliza tu toka kwa wanao jua zaidi.
 
mara nyingi jamaii inawafahamu lakini hamna pa kuongeleaaa, mfano madereva wa magari wapelekao materials (vyakula vya mifugo) au wabebao mazao (samaki/maziwa/nyama etc) kupeleka sokoni
 
Soma hapo juu FRANCIS DA DON
 
Mgao kivipi wakati hayo maji kwa asilimia kubwa yanishia baharini? Kama hayatoshi kwanini mengine yanaachwa yaende baharini? Sasa ipo bora, kuyatumia au kuyaacha yamwagikie baharini?
 
Kwa nini walitoa Kibali cha kuanzisha kilimo maeneo ambayo haifai?
 
Sema mkuu hapo kwenye mwendo wa kubeba ndoo kutoka Tegeta mpaka Mbagala nimekuelewa sana.

Hata "wana wa Israeli" walinyooshwa karibia na mwendo huo 😀
 
Kong'ota rungu za kwenye mapanki yao,Hadi huduma irejee Kama kawaida🏃🏃
 
Malengo ya sasa ya serkali ya awamu ya sita ni kuja na kilimo Cha umwagiliaji sasa kosa nini iwapo wao wametaka kuanzisha kilimo Cha umwagiliaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…