Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

Aanaogopa Akiwa mkali sana wanaweza kumbania kiti 2025
 
Hapo anadanganywa Samia ?!!! Kwani yeye hana Maji au Ikulu kuna Mgao ?; Wanaodanganywa ni wanaomlipa na kuminywa na Tozo wakati hakuna Value for Money....

Yaani tuna maziwa makubwa Matatu ya Afrika lakini maji utafikiri tupo Baghdad
Hata baghdad wana afadhali [emoji41]
 
Watu wa DAR na Pwani ni muda wenu wa kupunguza kula ambako kutapelekea kujisaidia sana na halikadhalika kunyanduana.
Poleni sana wajameni sisi huku Koromije maji ya kisima bado yapo kwa sana.
Na umeme vipi huko koromije?
 
Sawa, turudi kwenye hoja. Maji ya mto ruvu huwa kwa asilimia kubwa yanaishia baharini, ipi bora, kuyatumia au kuyaacha yamwagikie baharini? Au kuna bwawa la
Kuyazuia yasiende moja kwa moja baharini?
Unaongea pumba.. hata kama yanaishia baharini kazi yake kubwa nikusambazwa kwa matumizi ya binadamu.. ndo maana Egypt wapo tayari kuingia vitani na yeyote atakaye chepusha maji ya mto Nile..

Sasa jiulize maji ya mto Nile yanaishia wapi..??

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Na wewe umefanya kipi cha maana? Yule mliyemuita chuma alifanya nini cha maana kwenye maji?

Kama unamuongelea Magufuli, alifikisha maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Mkoa wa Tabora na kazi ilikuwa inaendelea ilioanzishwa na Mkapa ya kusambaza maji ya Ziwa Viktoria kwenye Mikoa ya karibu, wakazi wa Tabora (baadhi atleast) wana maji kutoka Ziwa Victoria!
 
Mkuu unajua shida ni kwamba. Wizara ya Maji na Eizara ya Maliasili zinafanyakazi kivyakevyake.

Suala la mazingira nanutunzani vyanzo vya maji limeachiwa watu wa misitu pekee. Na hao wana jeshi lao linapambana na raia kama adui kutoka nje.

Hatuna plans shirikishi za kutunza vyanzo vya maji.

Sikubaliani na hoja yako kwamba uchepushaji wa maji ndilo tatizo. Genta, nenda kule ulughru milimani ndo utaelewa namna serikali na mamlaka zake wanavyofanya mambo kama hawana wataalam
 
Ushauri Kwa hao wawekezaji wanatakiwa kuweka mfumo wa kuvuna maji mengi wakati wa masika na wakati wakiangazi kama huu kuacha kabisa kuvuna mtoni.Kusitisha kilimo cha umwagiliaji si sahihi sana
 
Ni sawa, ila kwa kipindi hiki ambapo hayasambazwi yote majumbani, badala yake asilimia kubwa yanaishia baharini, ipi ni bora, kuyatumia au kuyaacha yaingie baharini?
 
Na wewe umefanya kipi cha maana? Yule mliyemuita chuma alifanya nini cha maana kwenye maji?
Yaani nakujibu basi tu lakini sikustahili hata kukujibu, Sasa mimi ni nani? na nafasi gani ya kufanya vitu ila kwa taarifa yako na kinyumba changu nimeweka Tank chini na pump kunisaidia lakini hilo ni langu na family yangu. Mimi wapi nimemtaja mtu awe chuma au yoyote, nimeongelea shida ya viongozi wote waliokuwa na jukumu hili wala sio mtu maana hakuna mtu mmoja akaweza kufanya peke yake ni wajibu wa serikali na serikali ni ya chama cha CCM wote wanawajibika hakuna majina.
 
sawa charismatic fella the game changer. hv huyo kwenye avatar yako ni nani
 
Nafasi ndio inafanya? Usijibu kwani napata pesa ulinijibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…