Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mpaka muda wake uishe, tutachambwa mpaka tukome.Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka muda wake uishe, tutachambwa mpaka tukome.Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
Kumkosoa mtu sio kosa ila kutumia lugha ya kumtusi unayemkosoa sababu ya chuki tu sio sawa kabisa.Mkuu 'Proved', sijui unamzungumzia nani katika haya uliyoandika hapa, kidogo inachanganya.
Ni nani hasa kakosa heshima, huyu uliyemjibu hapa, au yule anaye ambiwa maneno ambayo...eeeh, kweli siyo ya "heshima."
Binafsi nashindwa kutenganisha kati ya hao wawili. Ni kama wote wamekosa hiyo "heshima" unayotaka huyu wa pili awe nayo.
Labda ueleze mwenyewe kwa nini ni huyu huyu anayestahili hayo maneno uliyoandika hapo.
Au kwa vile yule mwingine anacho cheo kikubwa ndani ya jamii. Si huyo ndiye angedaiwa kuwa na heshima zaidi, au wewe unaonaje, mkuu 'Proved'.
Na mulivyowapa urais ile mishoga ya kikatoliki Tanganyika ni nani mwanaharamu?Ndio shida ya kuyapa uongozi Mashangingi yaliyotakiwa kuimba taarabu. Tanganyika my motherland you messed up with a bunch of bitch
KUMBE YEYE SI MZANZIBAR.Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Komandoo Salmin alioa Uchagani yeye na Mtemi Mwingine wa Lupaso 😄😄😂
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Tanganyika my motherland you messed up with a bunch of bitch
Unaakili kweli hebu nenda ukafanye afya ya akili, yaani auze nchi nzima halafu aje tu apendwe kisa anaongea ujingaKinachowakera ni dini yake tu, hayo yoooooote anayofanya mama kama angefanya mwanamke mgalatia mwenzenu basi na kumpongeza mungempongeza
Chuki mlizoficha ni kubwa kuliko mnazoonyesha
Kuvunja muungano wa kishenzi ni jambo zuri sana kama mpango mimi nitamuunga mkonoWaliotaka kujua huyu mtu huko Zanzibar yupo kwenye kundi gani hasa, sasa jibu wamelipata vizuri kabisa.
Huyu yumo kwenye kundi la akina OMO na wengine wote wapiga kelele wakitaka kuvunja muungano.
Huyu amejaribu kila awezalo kuwaudhi watu ili walianzishe la kuvunja muungano, lakini watu wanamtazama tu kama hawasikii wala hawaoni lolote analofanya.
Hizi sasa ni 'frustrations' za kukosa mafanikio ya mbinu zake chafu.