Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Mkuu 'Proved', sijui unamzungumzia nani katika haya uliyoandika hapa, kidogo inachanganya.

Ni nani hasa kakosa heshima, huyu uliyemjibu hapa, au yule anaye ambiwa maneno ambayo...eeeh, kweli siyo ya "heshima."

Binafsi nashindwa kutenganisha kati ya hao wawili. Ni kama wote wamekosa hiyo "heshima" unayotaka huyu wa pili awe nayo.
Labda ueleze mwenyewe kwa nini ni huyu huyu anayestahili hayo maneno uliyoandika hapo.
Au kwa vile yule mwingine anacho cheo kikubwa ndani ya jamii. Si huyo ndiye angedaiwa kuwa na heshima zaidi, au wewe unaonaje, mkuu 'Proved'.
Kumkosoa mtu sio kosa ila kutumia lugha ya kumtusi unayemkosoa sababu ya chuki tu sio sawa kabisa.
 
Ndio shida ya kuyapa uongozi Mashangingi yaliyotakiwa kuimba taarabu. Tanganyika my motherland you messed up with a bunch of bitch
Na mulivyowapa urais ile mishoga ya kikatoliki Tanganyika ni nani mwanaharamu?
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
KUMBE YEYE SI MZANZIBAR.
 
Mama yenu pumzi imekata, kwisha kazi , Rais mzima anaongea ujinga, eti wazanzibar wazuri na roho nzuri, mbona mmekuwa mkiiba na kupora uchaguzi wa Maalim seif miaka yote? Hiyo roho nzuri hamkuiona ? Eti sura nzuri hivi Samia nae ana sura nzuri?

Tunataka majibu ya bandari ,wazi wa babdari na kwanini amesaini mkataba wa kihuni bila yeye kujua , elimu ndogo matokeo yake ndo hayo, urembo fake wake na roho nzuri fake hatuhitaji .
 
Lamsingi heshimuni mamlaka.

Makosa yake yanategemea na upande ulio egamia.
 
Kinachowakera ni dini yake tu, hayo yoooooote anayofanya mama kama angefanya mwanamke mgalatia mwenzenu basi na kumpongeza mungempongeza

Chuki mlizoficha ni kubwa kuliko mnazoonyesha
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”

1 wa Zanzibar
2 watanzania
3 watanganyika

Serikali 3 lazima
 
Ndio maana hauza nchi yao kama alivyouza ya kwetu mxiuu namchukia kutoka rohoni
 
Kinachowakera ni dini yake tu, hayo yoooooote anayofanya mama kama angefanya mwanamke mgalatia mwenzenu basi na kumpongeza mungempongeza

Chuki mlizoficha ni kubwa kuliko mnazoonyesha
Unaakili kweli hebu nenda ukafanye afya ya akili, yaani auze nchi nzima halafu aje tu apendwe kisa anaongea ujinga
 
Waliotaka kujua huyu mtu huko Zanzibar yupo kwenye kundi gani hasa, sasa jibu wamelipata vizuri kabisa.
Huyu yumo kwenye kundi la akina OMO na wengine wote wapiga kelele wakitaka kuvunja muungano.

Huyu amejaribu kila awezalo kuwaudhi watu ili walianzishe la kuvunja muungano, lakini watu wanamtazama tu kama hawasikii wala hawaoni lolote analofanya.
Hizi sasa ni 'frustrations' za kukosa mafanikio ya mbinu zake chafu.
Kuvunja muungano wa kishenzi ni jambo zuri sana kama mpango mimi nitamuunga mkono
 
Back
Top Bottom