Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Mama kateleza ...ajizuie asitoe kauli akiwa na hasira...
Roho nzuri inategemea ntu na ntu.
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Nchi ya Chato ama?
 
Ana kichwa kibaya na akili matope tupu, hatuna muda nae huyo wa kupita hatuna muda nae tu, muda utafika tu
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.
Malkia wa modern taarab, mama wa mipasho.
 
Mnapenda kufiranaga siye huku hatuna uchafu kama huo na sijakutuna libichwa kama feri za pemba , kimdomo kidogo kama mk wa kuku, cheusi kama feni ya mchambia vima , unanjaa ndio maana wewe ni chawa hewa , unafanana na vile vinyani vya jozani national park , kisauti kibaya kama honi za haisi, umekomaa kama bendera za tanu
Duh! Hii jamii forum imekuwa huru kiasi hiki?
 
Kumkosoa mtu sio kosa ila kutumia lugha ya kumtusi unayemkosoa sababu ya chuki tu sio sawa kabisa.
Ki msingi ninakubaliana na wewe; ila hapa kati ya hao wawili kuna anayemkosoa mwingine kwa sababu ya chuki tu, bila ya sababu maalum.

Tuchukulie huyu mfano wa huyu wa pili. Pamoja na kutoyakubali maneno yake, lakini kweli ni sahihi kusema kuwa maneno hayo kayatoa kwa mhusika kwa sababu ya "chuki" kwa mhusika tu, au ni kwa sababu ya maneno yaliyosemwa na mhusika wa kwanza?
Binafsi naona kuna tofauti na mtizamo wako uliouweka hapa.

Sasa tuulize pia huyo mhusika wa kwanza, alipoyatoa hayo aliyosema, pamoja na kutokuwa bayana na aliyemlenga, haya maneno siyo ya "chuki" kwa waliolengwa?
 
Kuvunja muungano wa kishenzi ni jambo zuri sana kama mpango mimi nitamuunga mkono
Hapana, muungano siyo wa "kishenzi", washenzi ni hao wanaotafuta kila namna ya kuuvunja. Wewe hapo ni mfano mzuri wa watu waliofanikiwa kunaswa katika mtego wa hao washenzi wanaotafuta kuuvunja muungano, akiwemo huyo aliyetoa maneno yale pale juu.
Itasikitisha sana kwa mtu kama wewe kuingizwa chakani na hawa washenzi.
 
Muungano wa kipuuzi kila nchi iishi kivyake
Muungano umekuwa wa "kipuuzi" kwa sababu umekubali hawa wapuuzi waufanye uonekane kuwa wa kipuuzi, na kwa bahati mbaya sana wameweza kunasa akili za watu kama wewe.
Kwa nini hili usilitambue na kulikataa?
Hakuna aliyelenga kuwa na muungano wa aina hii uliopo sasa, ambao ni matokeo ya kazi za hawa wapuuzi.
Watu wenye akili timamu watashindwa vipi kufanya muungano sahihi?
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Hili nakubali ila bandari za wa watu no,
Mtu Mzima haambiwi mara mbili.....
 
Muungano ni wa kipuuzi wajinga pekee ndio wanao uhusudu
Unarudia yale yale, sijui unataka ujibiwe vipi? Isije ikawa wewe ni mmoja wa hao "washenzi/wapuuzi" wanaofanya kila kitu kuuvunja muungano!
Kama hivyo ndivyo, huna tofauti yoyote na huyo anayezungumziwa kwenye mada hii.
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Kauli za kibaguzi hizi. Huyu bibi ana SWAGA za kikoloni. Bandari zetu nzuri, lakini sisi watanganyika ni Manyani, Sawa na Asante sana Samia Suluhu.
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Mbona Tanzania umeiacha umeandika Zanzibar tu, mama kasema Zanzibar na Tanzania, unafikiri hatujamsikia alivyosema?

Huo ndiyo ufataani wenyewe.
 
Uzuri Bunge letu halina dini na ujumbe wao leo umeifikia nchi nzima. Tunatarajia kila aina ya kauli toka mataifa yote yenye nia njema. Na hiyo ndio Diplomasia rahisi kuielewa. Enjoy
Bunge linayo dini, no bunge la kikatoliki, ila sasa tumeshtuka tunataka haki sawa
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Usituzuge, unatusema Watanganyika ndiyo maana unatuuza?
 
Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
20141018_MAP004_0.jpg
20141018_MAP004_0.jpg
 
Mtanganyika hujisikia huru anapozuru nchi zingine za africa mashariki kuliko akizuru Zanzibar kutokana na chuki ya wanzinzibari. Wanzanzibari wana chuki na roho mbaya sana dhidi ya watanganyika. Na ni wabaguzi kupitiliza na hasa wakijua wewe si mwislamu, hata bidhaa wanakupandishia bei.
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Anaijenga Kizimkazi na Makunduchi Unguja Kusini ili akirejea fahari ya umalkia itamalaki kwake. Lugha aliyoitumia haikubaliki maana Zanzibar waiita Tanganyika ni nchi ya nje na wanannchi wake tumemwelewa vizuri acha afanye Kizimkazi kama Chato lakini mwisho wa siku itakuja kuwa magofu na historia vile vile.

Tangu lini watu wa Zanzibar wana roho na sura nzuri? Tangu lini wakawa wakarimu kama wakati wa mfungo tu yule ambaye sio wa dini yao anabagazwa akionekana anakula mghahawani? Vipi kwanini wabague Watanganyika ni sharti awe na kitambulisho cha Mzanzibari mkazi? nk
 
Back
Top Bottom