SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Amejaribisha moto tumemtilia petrol pumbavuhatuna ujinga kama wao![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejaribisha moto tumemtilia petrol pumbavuhatuna ujinga kama wao![]()
RAIS WETU, WA UNGUJA WANA ROHO ZA KIZUNGU LAKINI SI WAPEMBA HAWA SI WATU, MAKATILI SANA.Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Kweli kabisa Chief, somo limetufikia.Mtu Mzima haambiwi mara mbili.....
Kwenye hili swala la Bandari, iko hivi; ni propaganda za wanasiasa.Na kweli ,na Bandari za watanganyika wameuza kwa waarabu wenzao wa Dubai.
Sasa wanaibiwa na nani? Jecha na Shein wanatoka nchi gani?ndio maana wanawaibia uchaguzi kila mwaka
Ndio huu ukarimu wenyewe kwa waarabu? Vipi kwa Watanganyika?
Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.” ![]()
![]()
Mama awahurumie watu wa jfRais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Hatari sana! Jamaa moderators wafanye kazi yaodah . Mzee
Mama kasema mataifa ya Zanzibar na Tanzania ndo yana wananchi wenye sura na roho nzuri?Mbona Tanzania umeiacha umeandika Zanzibar tu, mama kasema Zanzibar na Tanzania, unafikiri hatujamsikia alivyosema?
Huo ndiyo ufataani wenyewe.
Kamsikilize, clip ipo. Usingoje kila kitu kufanyiwa na usiamini kila kitu cha mtandaoni.Mama kasema mataifa ya Zanzibar na Tanzania ndo yana wananchi wenye sura na roho nzuri?
Kama kugomea bandari zetu zisiuzwe ni Roho mbaya, basi tuna Roho mbaya Kweli Kweli na tunajivunia Roho mbaya!!Kama Rais wa Tz ametoa ya moyoni... Uwenda mabadiliko yalio kataliwa bungeni yamemkera🤐
Mtanganyika hujisikia huru anapozuru nchi zingine za africa mashariki kuliko akizuru Zanzibar kutokana na chuki ya wanzinzibari. Wanzanzibari wana chuki na roho mbaya sana dhidi ya watanganyika. Na ni wabaguzi kupitiliza na hasa wakijua wewe si mwislamu, hata bidhaa wanakupandishia
Halafu Watanganyika wanakenua tu hapo huku wanapigwa dongo. CCM ni adui wa Watanganyika tuamkeni dharau inazidi toka kwa hawa wakojani.Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Ni kweli kama tulivyoshudia kwenye ile video ya afande wa zenji ule ndiyo uzuri wenyewe.Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Mwenzio kaandika .. unpresidentialIt is presidential statement yes, but rubbish (matope)
Umesomea ujinga? Tanzania na Zanzibar ndio nini?Mbona Tanzania umeiacha umeandika Zanzibar tu, mama kasema Zanzibar na Tanzania, unafikiri hatujamsikia alivyosema?
Huo ndiyo ufataani wenyewe.
Haiwezi kuwa unpresidential wakati imetolewa na presidentMwenzio kaandika .. unpresidential