Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Amejaribisha moto tumemtilia petrol pumbavu
1691918561367-png.2716150
hatuna ujinga kama wao
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
RAIS WETU, WA UNGUJA WANA ROHO ZA KIZUNGU LAKINI SI WAPEMBA HAWA SI WATU, MAKATILI SANA.
Wanaupendo kama huu 🔻
FB_IMG_1693380880021.jpg
 
Next time deep state msikosee Tena kutuwekea top leaders ambao hawana speech zenye Mvuto. Ukisiliza speech za viongozi kama Nyerere ,Mandela, Obama nk ukalinganisha na speech za vidole juu kama hizi za sasa, Ni kichefuchefu Yani.
 
Na kweli ,na Bandari za watanganyika wameuza kwa waarabu wenzao wa Dubai.
Kwenye hili swala la Bandari, iko hivi; ni propaganda za wanasiasa.

Popote pale duninani, Bunge pamoja na Serikali haviwezi kushirikiana kuuza nchi; hiki kitu hakiwezi kutokea na wala hakitakaa kitokee

Sasa, come 2025 kuna mojawapo ya mambo mawili tu yatakayotokea;

Kama swala la Bandari ni scam, basi latawafuta kabisa CCM kwenye medani za kisiasa; na kama siyo scam, basi litawafuta kabisa wapinzani kwenye medani za kisiasa

Mkaraba huu utakapoanza kutekelezwa, A staggering revenue of aound TZS 27 TRILLION is a projected revenue from BANDARI ONLY

Halafu sasa hapo uniambie mwanasiasa atayeweza kupata kasi ya kumkamata Mama kiasiasa
 
Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
20141018_MAP004_0.jpg
20141018_MAP004_0.jpg
Ndio huu ukarimu wenyewe kwa waarabu? Vipi kwa Watanganyika?
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Mama awahurumie watu wa jf
Watafungua nyuzi huu mwaka had wakome 🤣
 
Mbona Tanzania umeiacha umeandika Zanzibar tu, mama kasema Zanzibar na Tanzania, unafikiri hatujamsikia alivyosema?

Huo ndiyo ufataani wenyewe.
Mama kasema mataifa ya Zanzibar na Tanzania ndo yana wananchi wenye sura na roho nzuri?
 
Mama kasema mataifa ya Zanzibar na Tanzania ndo yana wananchi wenye sura na roho nzuri?
Kamsikilize, clip ipo. Usingoje kila kitu kufanyiwa na usiamini kila kitu cha mtandaoni.
 
Kama Rais wa Tz ametoa ya moyoni... Uwenda mabadiliko yalio kataliwa bungeni yamemkera🤐
Kama kugomea bandari zetu zisiuzwe ni Roho mbaya, basi tuna Roho mbaya Kweli Kweli na tunajivunia Roho mbaya!!
 
Mtanganyika hujisikia huru anapozuru nchi zingine za africa mashariki kuliko akizuru Zanzibar kutokana na chuki ya wanzinzibari. Wanzanzibari wana chuki na roho mbaya sana dhidi ya watanganyika. Na ni wabaguzi kupitiliza na hasa wakijua wewe si mwislamu, hata bidhaa wanakupandishia
 
Nilifungua mgahawa panga maua, nilivyo na ndevu walijua ni sheikh, walipogundia ni muumini wa dini nyingine nilipoteza wateja Kila kukicha nikafunga..uzuri nilirudishwa bara kikazi nikarudi na maisha yangu japo nilipoteza pesa mingi
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Halafu Watanganyika wanakenua tu hapo huku wanapigwa dongo. CCM ni adui wa Watanganyika tuamkeni dharau inazidi toka kwa hawa wakojani.
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Ni kweli kama tulivyoshudia kwenye ile video ya afande wa zenji ule ndiyo uzuri wenyewe.
 
Back
Top Bottom