TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Kwaheri ya kutoonana tena Ali Hassan Mwinyi
 
Tuko na moja ya chama na serikali yenye ufisadi zaidi duniani. Na kila mtu anavumilia hilo.

Na mara tu mwanasiasa mwaminifu anapoonekana, kila mtu anaanza kumshambulia kwa mambo madogo ambayo hayana faida yoyote sababu hatuna ujasiri wa kweli wa kusimama imara.

Wakubwa wanatetea maslahi yao binafasi, wadogo wanafuata mkumbo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka nimeona aibu. Huna uchungu hata na msiba wa mzee Mwinyi ? Umemsifiaa samia mwanzo mwisho bila hata kumkumbuka marehemu kwa mazuri yake. Kweli pepo ngumu machawa mna kazi.
Njaa mbaya usiombe ikakukuta. UTU wote unaisha🤣
 
CAM STORE na Comrade Ally Maftah.
Tunatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Watanzania wote kwa kuondokewa na Kipenzi cha watu Ally Hassan Mwinyi.

Rais awamu ya pili wa Jamuhuli ya muungano wa Tanzania, aliyetangulia mbele za haki 29 Feb 2024.

Tupo pamoja katika siku saba za maombolezo
Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM na Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es SalaamView attachment 2920561
Ally promo mpaka misibani?[emoji848][emoji2827]
 
Wapi Makamba Sr.

Ila Mzee katoboa 98 kininja sana,Hakuna mkongojo,Hakuna miwani.
20240229_204838.jpg
 
Back
Top Bottom