escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Wamejua kumuaibisha leoFuta! Futa! Kimeenda Moja Kwa Moja,!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejua kumuaibisha leoFuta! Futa! Kimeenda Moja Kwa Moja,!
Naukumbuka huu Wosia wa Mzee Mwinyi kwa Wanadamu."Maisha ya Mwanadamu ni hadithi, basi jitahidi kuwa hadithi nzuri ya kusimuliwa."
Ally Hassan Mwinyi
Waislam hawakai na maiti ndani mkuu, isingewezekana afariki last week watangaze leo.Ndio leo wameamua kutupa taarifa.
Rip Ali Hassan Mwinyi
Wanaokotezana humohumoIla ccm sijui inapataga wapi watu wake na viongozi wake!
shujaa fekiShujaa Magufuli unamkumbuka 2020 😂😂😂
Waarabu gani hao hivi leo hawazikwi haraka kisa matajiri? Ushawahi kufuatilia mazishi ya wafalme katika nchi za kiarabu kama Saudia au UAE?hamna jinsi lkn leo hii hata wao wale matajiri huko uarabuni hawaziki haraka
Hiyo ya "kukamua mavi" kwa maana yako wewe umeitoa wapi katika mafundisho ya Uislam? Kwanini huwa mnapenda kuropoka?wala pia hawakamuani mavi kama waislamu maskini wa tanzagiza …
Hapa Arusha tunamkumbuka kwa kuuza Loliondo akishirikiana na Muhidin NdolangaKiukweli Demokrasia ya Vyama Vingi ilijengwa na Mzee Mwinyi japo baadae waliomfatia waliichakachua
Hapa Iringa tulipata Mbunge wa NCCR mageuzi Mwalimu wangu Kibasa
Wewe utamkumbuka kwa lipi?
Mungu wa mbinguni mrehemu Mzee Mwinyi