TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Ebu fafanua vizuri...nimezaliwa pia enzi za mwinyi kati ya 90-93🤣🤣🤣
Ndio namaanisha wale wote waliozaliwa mwaka alioingia madarakani 1985 mpk anamaliza 1995...kwahyo hapo ww ujitafute sasa..utakua na ww upo humo..maisha yalikua mazuri..hakuna magonjwa magonjwa..tulicheza kama watoto kwa ushirikiano mtaa kwa mtaa..mzazi wa mwingine alikua mzazi kwa mtoto yoyote...hivyo yanii
 
pumzika kwa amani rais mstaafu ali hassan mwinyi dunia itakukumbuka kwa kuibadilisha Tanzania kutoka kwenye mfumo wa ujamaa na kujitegemea hadi mfumo wa ubepari.

Ni wewe ndio uliye ifanya Tanzania ikakua kiuchumi mpaka sasa ilipo bila maono yako Tanzania isingekuwa hivi

Nb.rais mwinyi alizaliwa mkurang, pwani Tanganyika mwaka 1924 na amefariki leo tarehe 29/2/2024


R.i.p
100? 😳
 
Back
Top Bottom