Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzee (extreme old age) unafanya mwili kuwa dhaifu, kaugonjwa ka kusababisha kifo kanapitia.Miaka 98 Chanzo Cha kifo ni uzee na sio visingizio vya kansa ya mapafu[emoji848]
Rais Hussein Ally Hassan Mwinyi ataongoza mazishi ya Rais wa tatu wa Zanzibar Ndugu Ally Hassan MwinyiNitamkumbuka kwa kusema Jiwe atawale milele
Hii ni Kali!!!Rais Hussein Ally Hassan Mwinyi ataongoza mazishi ya Rais wa tatu wa Zanzibar Ndugu Ally Hassan Mwinyi
Kasoro wale ndugu zetu masai, maana yeye ndo alianza kuuza mbuga!Kiongozi wa watu, anayejali na kuwasikiliza watu Rais Samia
Swali fikirishi!!!!Hivi kama ni kweli sote tutakufa na tutaenda mbele ya Haki sisi tuliobakia hapa Duniani mbona tunapanga kuiba Kura na kufanya Uchafuziii?
Kwani we Ume pata wapi?Wewe taarifa uliipata wapi.
Umenikumbusha mbaliKiukweli Demokrasia ya Vyama Vingi ilijengwa na Mzee Mwinyi japo baadae waliomfatia waliichakachua
Hapa Iringa tulipata Mbunge wa NCCR mageuzi Mwalimu wangu Kibasa
Wewe utamkumbuka kwa lipi?
Mungu wa mbinguni mrehemu Mzee Mwinyi
POLENI WAFIWA MUNGU AMPE PUMZIKO STAHIKI MZEE WETU MWINYI AMENRais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu.
Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa nchini kuendelea na Matibabu katika hospitali ya Mzena hadi leo ambapo amepatwa na mauti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza siku 7 za maombolezo ambapo kuanzia Machi 1, 2024, bendera zitapepea nusu mlingoti.
Atazikwa Machi 2, 2024 Unguja, Zanzibar.
View attachment 2920484
Taarifa za kuugua kwake, soma: Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua
Ilikuwa hamna namna lakini, huenda walikuwa wanasubiri ratiba zao zikae vizuri ndio watangaze na kwahesabu za haraka haraka mambo yote yaishe kabla ya kuaza kwa mwezi wa RamadanNdio leo wameamua kutupa taarifa.
Rip Ali Hassan Mwinyi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli huogopiii?Niogope kwa uhalifu gani niliofanya wizo [emoji1787][emoji1787]
Hahahaa mwanademokrasia gani anataka jiwe atawale milele hata Mwalimu asingetoa kauli ya KICHAWA kama ile pamoja na ujamaa wake.Kiukweli Demokrasia ya Vyama Vingi ilijengwa na Mzee Mwinyi japo baadae waliomfatia waliichakachua
Hapa Iringa tulipata Mbunge wa NCCR mageuzi Mwalimu wangu Kibasa
Wewe utamkumbuka kwa lipi?
Mungu wa mbinguni mrehemu Mzee Mwinyi