TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Mzee Mwinyi hana baya, apumzike kwa amani mbinguni.
Wale wema tunawasubiri kwa hamu, Mungu atujalie uhai.
 
Alitusaidia sana , vinginevyo viraka vingekuwepo hadi kesho. Tulikuwa tukitembea na viraka matakoni na kila nguo tuliyovaa.Asante Mwinyi, Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi.Ulifanya maamuzi magumu kuruhusu mitumba ije.Asante Mwinyi.Tutakukumbuka daima.
 
hamna jinsi lkn leo hii hata wao wale matajiri huko uarabuni hawaziki haraka
Waarabu gani hao hivi leo hawazikwi haraka kisa matajiri? Ushawahi kufuatilia mazishi ya wafalme katika nchi za kiarabu kama Saudia au UAE?
wala pia hawakamuani mavi kama waislamu maskini wa tanzagiza …
Hiyo ya "kukamua mavi" kwa maana yako wewe umeitoa wapi katika mafundisho ya Uislam? Kwanini huwa mnapenda kuropoka?
 
Ila jf kiboko yaani kuna watu wana za chini chini hatari. Hili jambo liliwahi kuletewa uzi watu walivyohoji kama likazimika hivi.

Hatimaye yametimia.

Inna lilahi wa inna ilaihi rajiun.
 
Back
Top Bottom