Leo umesahau kuweka tuma kwenye namba hii!
 
Ni kutokuwa makini tu ndo kumesababisha watangaze siku hii. Tunahitaji kumkumbuka mwendazake Mstaaru Ali Mwinyi kila tarehe ya kifo chake. Hawakufikiria hili wametangaza tarehe ambayo inakuja kila after 4 years.

Haya mambo yanahitaji mtu mwelewa awe anafuatilia hizi tarehe na matukio yake. Kwa nini hawakuamua kutangaza tarehe 28/02 au kabla ya hapo? Au wangevuta subra mpaka tarehe 1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…