TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Apumzike kwa amani mzee wetu.hana deni kwa watanzania maana alifanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake katika kuwaondoa watanzania katika dimbwi la umaskini..lala salama mzee wetu kazi umeimaliza na uliwatendea haki watanzania wote kwa kugusa maisha ya kila mtu..
Leo umesahau kuweka tuma kwenye namba hii!
 
Ni kutokuwa makini tu ndo kumesababisha watangaze siku hii. Tunahitaji kumkumbuka mwendazake Mstaaru Ali Mwinyi kila tarehe ya kifo chake. Hawakufikiria hili wametangaza tarehe ambayo inakuja kila after 4 years.

Haya mambo yanahitaji mtu mwelewa awe anafuatilia hizi tarehe na matukio yake. Kwa nini hawakuamua kutangaza tarehe 28/02 au kabla ya hapo? Au wangevuta subra mpaka tarehe 1?
 
Back
Top Bottom