Sasa kwa nini usiwachukie hao itikadi kali tu na badala yake unaenda kuuchukia uislamu kabisa?Kwa mambo ya kigaidi yanayofanywa na waislamu itikadi kali,angalia nortth nigeria wanayoua wakristo,hata wewe lazima uuchukie uislamu.
Kunako endea atauchukia na ubinadamu kwa sababu ndiyo wanaofanya mauaji 👉🏽 jiwe angavuSasa kwa nini usiwachukie hao itikadi kali tu na badala yake unaenda kuuchukia uislamu kabisa?
Now turning tables interestingly. Instead of addressing the statement, you shifted focus to me. your reaction confirms exactly what I observedUmejuaje mimi ni old man?
Mzaha mdogo na mkubwa unaupimaje?
Unamfanyiaje mzaha mtu humjui?
Wewe unanipangiaje mimi upi ni mzaha mdogo na upi mkubwa?
Nani kakupa cheo cha kupanga upi mzaha mdogo na mkubwa.
Wewe kuja ku impose ujinga wako kwa wengine bila hata metrics wala hoja, kwa ad hominem fallacy attacks zisizo na hoja, za "old man" si kuwa emotional?
Unajuaje nimekuwa pissed off mimi na si wewe tu huijui dunia na huwezi ku handle a normal spirited debate?
What if you are the half brained lethargic nitwit who think people are pissed off just because they are highly engaged and naturally energetic?
Charlie Kirk mkritu wa mlengo wa kulia ameuawa kwa kuwatetea watu wa Gaza. Wewe muislam hata kuita kusaga Tv kutoa maoni yako umeshindwa.Wengi wanasuport ni Wakristo na sababu kubwa zinawasukuma na mbili (naandika thread kuhusu hilo )
1.chuki kwa Waislamu
2. Kuamini Israeli ni Taifa la mungu hivyo wanhaki kufanya hivyo na wasihojiwe kwasabbu ni kazi ya Mungu ndio maana mdau kama huyu
na watu aina yake hawaoni ubaya kinachotokea gaza na anatamani watoto wote wa gaza na Waislamu wote wauliwe kwasabbu hawapendi Waislamu .
Hawa watu wakishika madaraka watakutesa hadi ufe k
Inhumane
Wanaoona Sawa wanawake na watoto kufa ni HamasMarekani ,Israeli na washirika wake wanaona sawa watoto na wanawake wasiokua na silaha kuuwawa na wanamchukia yeyote anaepinga mauaji yao zaidi ya watoto 70,000 wameuliwa na Israeli, bado haitoshi wanezuia misaada ya chakula na dawa kuingia ,wanaua waandishi wa habari ili dunia isione uovu wao.
Yeyote anaeyefurahia haya ni muuaji ambaye hajapata nafasi kuishika silaha
Hawapandi zile taxi za kurukajuu za Kagame??Makao makuu ya Umoja wa Mataifa yalitakuwa kuwa kwenye kisiwa kinachoendeshwa na Umoja wa Mataifa.
Hawa marais wanavyokuja New York City hata wakazi wa New York City hatupendi kwa sababu wana haribu traffic sana.
Tangu lini Charlie aliipigania Palestina sio yeye ndio aliyesema Palestine doesn't exist, sijalevywa na dini tunaongea ubaya haijalishi nani kasema, kumekuwa na kasumba watu kwakua hawapendi Uislamu basi ovu lolote linalowakuta watu wanaunga mkono ,ni chuki unaiona wazi kwenye maandishi yaoCharlie Kirk mkritu wa mlengo wa kulia ameuawa kwa kuwatetea watu wa Gaza. Wewe muislam hata kuita kusaga Tv kutoa maoni yako umeshindwa.
Iko hivi ugomvi si wa dini ni wa ardhi. Dina inatumika kama kilevi kuwalewesha watu wajinga. Be sharp, usilewe na na kilevi cha Hamas wala Cha Israel.
Halafu angalia ulivyomalizia sentensi zako aiseee hatari
Tazama hio picha hapo ni kabla na baada ya uvamizi wake Israeli, hakuna hata choo kilicho baki unataka kuniambia, hio mijengo yote ilikaliwa na hamasi ,kwanini wasishamblie magaidi badala yake wanabomoa shule ,hospital, mijengo ya kihistoria ,miundombinu ya maji/umeme, misikiti tena sio kwa kutarget Hamas wanaibomoa ikiwa empty(kutegesha mabomu) .Wanaoona Sawa wanawake na watoto kufa ni Hamas
Now turning tables interestingly. Instead of addressing the statement, you shifted focus to me. your reaction confirms exactly what I observed
Hakuna vita ambayo raia wa kawaida hawaathiriki, hayo yote uliyosema ndio madhara ya vita.Tazama hio picha hapo ni kabla na baada ya uvamizi wake Israeli, hakuna hata choo kilicho baki unataka kuniambia, hio mijengo yote ilikaliwa na hamasi ,kwanini wasishamblie magaidi badala yake wanabomoa shule ,hospital, mijengo ya kihistoria ,miundombinu ya maji/umeme, misikiti tena sio kwa kutarget Hamas wanaibomoa ikiwa empty(kutegesha mabomu) .
Bado haitoshi wanezuia misaada ya chakula na maji wanashambulia makundi ya raia wasiokua na silaha
Lengo lao lipo wazi na wenyewe wanaongea bila kuficha nia yao kuifuta Palestine na wakazi wake .
Relax mzee, hii ni JF hatupo vitani kama umeshindwa kubeba joke ndogo namna hii i wonder matatizo yako unayabebaje?Is this the best you can comw up woth?
You are a troll.
I will not waste my shells on you.
You do not deserve the privilege to engage me directly.
I am placing you in my ignore list.
From here onwards I will not see any of your posts.
If only just to protect this place from endless and useless bickering with idiotic trolls.
Huyo jamaa mwisho wa siku atajikuta ame ignore watu wote humu.Relax mzee, hii ni JF hatupo vitani kama umeshindwa kubeba joke ndogo namna hii i wonder matatizo yako unayabebaje?
Silence after a debate doesn’t mean victory, it only reflects exhaustion. Anyway, good luck handling ideas heavier than your temper.
Bye Mr. Angry Man 👋
hapo 👆🏽 nistaili ya kidikteta kuwafunga wanao kukosoa ondoa hiyo hali katika nafsi yako.Is this the best you can comw up woth?
You are a troll.
I will not waste my shells on you.
You do not deserve the privilege to engage me directly.
I am placing you in my ignore list.
From here onwards I will not see any of your posts.
If only just to protect this place from endless and useless bickering with idiotic trolls.
Sasa huko kushiriki maandamano na kutoa kauli dhidi ya trump si ndio kuinga mkono Palestina, au unafikiri context ya hayo yalikua nini tofauti na Palestina
Gaza sio mgogoro wa ndani ya Marekani, ni suala la kimataifa linalohusu maamuzi ya kigeni.Tatizo inaonekana hujui chochote kuhusiana na sheria za kimataifa.
Fikiria kuwa Rais Ruto aje Tanzania, ashiriki maandamano ya wanaoipinga Serikali dhidi ya msimamo wake dhidi ya CHADEMA, na akiwa kwenye maandamano hayo ahutubie kuwa JWTZ impindue Samia.
Hiyo itachukuliwa ni sawa na kutangaza vita.
Yale yalikuwa ni maandamano ya kikundi cha Wamarekani kupinga msimamo wa Serikali yao dhidi ya wapalestina, yeye anaenda kuwahutubia kuwa jeshi la Marekani limwondoe Trump!!
Unaongea kwa imani ya kiislam au kikristo? Au kiyahudi ? Maana uislam ni tofauti na hiyo imani ya Adamu kuwa mtu wa kwanza au unataka kusema Allah alichanganyikiwa? Kusema kuna Watu Duniani kabla ya Adam?Sisi sote tumetokana na Adam je unamsapoti kuuwa wasio husika
Anadhani kuwa raisi na kubeba madawa ya kulevya ndio asizuiwe kuleta shehena ya ngada Marekani hahaha yaani kila mtu anawatumia Arabs wanaojiita palestina kupiga deal zao, huku hao Arabs hata hawawapendi, Arabs muslim wanataka kila mmoja wenu awe muslims, na hilo halitokuja tokea kamwe, mashetani nyieView attachment 3480217
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.
kwahiyo Pia huamini kuwa kuna vita Hahahaha yaani unakuwa raisi alafu mjinga, ajidunge tu mandrax apate stimu atoe udenda tu, maraisi hasara kwa nchi zaoGustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli
Si ameshachagua upande wa magaidi atulie na mkeka wake uliochanika wa mhindiia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao wa vita vya gaza.
Aweke proof tu aache uongo"There is no superior race..
atakuwa pagani huyo mtu kama huyo maneno yake tu yanaonesha ni mvuta ngadaThere is no ‘chosen people of God.
mvuta ngada ni choosen people hahahaha akasome dini huyo probably alikuwa mtoro wa churchIt is neither the United States nor Israel. The ‘chosen people of God’ is all of humanity.” ~Petro
masikini hajui hata kama kuna jeshi la UN auze drugs zake atemgeneze Jeshi la duniaPia amezitaka inchi ziungane zitengeneze jeshi kubwa ikarudishe amani gaza,
Mtu asie na akili unampaje mic?Baada ya kauli hizo Marekani ikamfutia visa yake, Gustavo akasema kufuatia hilo:
“Kuomba Marekani na Israeli wasisaidie mauaji ya halaiki ambayo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sio kosa. Ni wajibu wa kimaadili.”
Ndio ishaweza“Kuna kinga kamili kwa marais wanaohudhuria Baraza Kuu la UN. Serikali ya Marekani haiwezi kuweka masharti juu ya maoni ya viongozi wa dunia.”~Petro
Kisheria Palestina ni nchi? Za kuambiwa changanya na zako, aisemee basi na Zanzibar iwe na kiti UNPia Petro amekosoa Marekani kuinyima ruhusa Palestina kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema kuwa kitendo cha Mamlaka ya Palestina kunyimwa ruhusa ya kuingia, na yeye kufutiwa viza, ni uthibitisho kwamba Marekani haitii tena sheria za kimataifa.
Yahamishiwe Gaza basiMarekani inatumia vibaya wenyeji wake kudhibiti nani anaingia au na useme nini, Petro anasema makao makuu ya Umoja wa Mataifa hayapaswi tena kubaki New York bali yahamishwe kwenye nchi isiyo na upendeleo wa kisiasa.
naomba ushahidi acheni na propaganda za kiislam, gaza wote ni Hamas unajua Dollar million ngapi zinatolewa raia yeyote akionesha mateka walipo?Marekani ,Israeli na washirika wake wanaona sawa watoto na wanawake wasiokua na silaha kuuwawa
Chuki muamzishe wenyewe then mnalia lia kama massawena wanamchukia yeyote anaepinga mauaji
Kwahiyo kila kifo gaza ni Israel hahahahaha za kuambiwa weka na zako, Israel inauaje watoto wengi hivyo? Ndio nyie mnaambiwa mtumie condoms mnaacha ukimwi mkipata mnalalamika, Israel ametumia kinga zote kulinda raia alafu hizo statics watoto wanatakiwa kuwa wameisha, idadi ya raia Gaza imeongezeka so uongo wenu pelekeni madrassayao zaidi ya watoto 70,000 wameuliwa na Israeli,
Si Gaza wote wangekuwawamededi, chakula gaza ni kingi mno kushinda Tanzania Uongo ishini nao wenyewe na iblis baba yenu pumbavudo haitoshi wanezuia misaada ya chakula na dawa kuingia
Waandishi makamanda wa Hamas hahahahaha hii vita imeweka wanafiki wenye chuki wote hadharani,wanaua waandishi wa habari ili dunia isione uovu wao.
Vipi October 7 2023 ulifurahia au? Tuliwaambie mtakuja kujuta and Israel akishawaambia muondoke eno la hatari ukibaki umesign your own death Israel anapiga target tu na sio raia Hamas use civilians as human shield na wamesema kwa mdomo wao kuwa raia walindwe na UNYeyote anaeyefurahia haya ni muuaji ambaye hajapata nafasi kuishika silaha
Leta ushahidiUnaongea kwa imani ya kiislam au kikristo? Au kiyahudi ? Maana uislam ni tofauti na hiyo imani ya Adamu kuwa mtu wa kwanza au unataka kusema Allah alichanganyikiwa? Kusema kuna Watu Duniani kabla ya Adam?
Why hamujui uislam? Fake muslims Mnanishangaza sana nyie hamuwezi ishi bila uongo wa Allah na Mudy? All the time mna Spreading lies about Islam
Wewe hujitambui umevikwa na chuki na upofu. Profile pic uliyoweka ni ya Muislam maarufu zaidi kuwahi kutokea Tanzania kuiwakilisha kimataifa!Kwa mambo ya kigaidi yanayofanywa na waislamu itikadi kali,angalia nortth nigeria wanayoua wakristo,hata wewe lazima uuchukie uislamu.