Unachekesha sana wewe kilaza. Khalifa sio kiongozi bali ni muwakilishi wa Allah hahahahaQur’an 2:30 inataja Khalifa si kwa maana ya kiongozi wa watu waliokuwepo, bali mwakilishi wa Allah katika ardhini kiumbe atakayeishi duniani akitumika katika utawala wa dunian kwa amri za Allah
kuwa Khalifa si lazima kuwe na watu wa kuongozwa ni jukumu la kusimamia dunia kwa misingi ya uadilif pamoja na na ibada
Kabla ya kuingia kwenye mjadala kuhusu Qur’an jipe darasa kwanza la tafsiri Jaribuni kutumia hata Google unzihilisha ni kwa namna gani hoja zako ni za kuokoteza maneno
Qur’an inasema “imekaribia Saa” (اقتربت الساعة) haijasema imefika.
, unaelewa tofauti ya kitenzi “imekaribia” na “imetokea”?
Ukiyachanganya haya mawili, unakubali umekosea lugha?
Tukio la kupasuka mwezi lilitokea kipindi cha mtime kama muujiza. lilitokea kama dalili, sio mwisho wa dunia. Kasome tena
Naongea na gogo au punda au kiazi? Unasema aya haioneshi kuwa Malaika wanabishana na Allah? inaonesha kwenu ulivyolelewa huna tofauti na hao Malaika wa Allah Mzazi akikutuma muda wa kwenda Shule unamuambia mzazi ulichoniambia nifanye mimi nitachelewa Shule. na mzazi wako akikuambia nimesema fanya hiki kwanza hutochelewa wakati wewe unajua kabisa and then ukifanya hiyo kazi ya mzazi unaenda shule umeshachelewa. nani hapo atakuwa yupo sawa? cha kwanza umeonesha kiburi na cha pili umemuonesha Mzazi kuwa afanyalo sio sawa lina madhara ndio Game ya Allah na Malaika Mwisho wa Siku Malaika walikuwa sawa na Allah mkosaji kwa ukorofi wa kutotaka kuambiwa alafu why aliwapa Adhabu? chanzo ni huo ubishano kisha akajidai eti anawauliza watake majina aliyomfundisha Adam pekee na waliposhindwa akawapa adhabu ya kumsujudia Adam Shirk Quran ina story za kipumbavu pumbavu tuQur’an 2:30 haionyeshi Malaika wanabishana na Allah labda kama una aya nyingine unayo tofauti na hii
Malaika hawakuwa wanajua kwa uhakika ndio maana nikisema waligikifiri kwa mtazamo wa kibinadamu na Walikuwa wanauliza kwa kulinganisha na viumbe waliokuwepo kabla ya binadamu ( majini waliokuwa wanamwaga damu).
Qur’an haijasema “wakajua” imesema “wakasema "(استفهام تعجبي). utamweka humo atakayefanya uharibifu na kumwaga damu?” ni swali la kutaka kuelewa, sio kuonyesha kulijua jambo ,(waliongea kutokana na waliyoyashuhudia kwa viumbe wengine) sio hoja ya kulijua jambo
Kama Malaika walijua kila kitu, kwa nini Allah awaambie: "Mimi nayajua msiyoyajua"?Na baadaye wakakiri
“Subhanaka la ‘ilma lana illa ma ‘allamtana”
(Wewe umetakasika, hatuna elimu ila ile uliyotufundisha) – [Q2:32]
Malaika wenyewe walikiri hawana elimu zaidi ya walio fundishwa sasa inakuaje unaleta madai yaliyokosa mantiki, yenye kujipinga yenyewe
kudai walimjua zaidi Mungu ni kuj contradict Qur’an yenyewe Lete ushahidi wako mwingine huu uko invalid,
Unachekesha sana wewe kilaza. Khalifa sio kiongozi bali ni muwakilishi wa Allah hahahaha
Tuanze na Tafsiri ya Neno Khalifa tukushike upumbavu wako sio kwamba nakutukana hapana nakufundisha kwa nguvu ili ushike haswa siku nyingine uache uzembe usidhani unamsaidia Allah bali unamtusi haswa:-
Story ya Allah na Malaika ilianzaje! Allah aliwaambia Malaika '' Nitaenda kumuweka khalifa katika Dunia'' Je Khalifa ni nini? Khalifa ni Kiongozi aliyerithi kutoka kwa kiongozi aliyekuwepo = Sasa kichekesho kwa ubishi Adam alimrithi nani? akawa Khalifa au unataka kusema Adam alimrithi Binadamu mwingine kabla yake au Alimrithi Allah mwenyewe hahahaha Waislam wenzio wanakubali Adam was a Successor wa Allah hahahahaha
But the story starts with this statement that Allah told the angels, “I’m going to place on the earth a Khalifa.” What is a Khalifa? =A Khalifa is a successor
So Abu Bakr (ra) was the successor of the Prophet Muhammad (pbuh) and the successor to him was Umar (ra) and so on. They were the Khalifa to Rasulullah, the successors of the Messenger of Allah. When it comes to this word Khalifa in this verse, the scholars talk about two opinions, and I think both of them make sense. They’re not really exclusive.
One meaning is that Adam was simply a successor to those creatures already on earth and the second interpretation is that he was a successor to Allah, not to Allah directly, but to Allah’s command. And that it was his job to carry out the commands and responsibilities that Allah had given him
qālū(wakasema) sio kuhoji kwa kupinga, ni istifhām ta‘ajjubi yaani swali la kushangaa au kutaka kuelewa hekima.Naongea na gogo au punda au kiazi? Unasema aya haioneshi kuwa Malaika wanabishana na Allah? inaonesha kwenu ulivyolelewa huna tofauti na hao Malaika wa Allah Mzazi akikutuma muda wa kwenda Shule unamuambia mzazi ulichoniambia nifanye mimi nitachelewa Shule. na mzazi wako akikuambia nimesema fanya hiki kwanza hutochelewa wakati wewe unajua kabisa and then ukifanya hiyo kazi ya mzazi unaenda shule umeshachelewa. nani hapo atakuwa yupo sawa? cha kwanza umeonesha kiburi na cha pili umemuonesha Mzazi kuwa afanyalo sio sawa lina madhara ndio Game ya Allah na Malaika Mwisho wa Siku Malaika walikuwa sawa na Allah mkosaji kwa ukorofi wa kutotaka kuambiwa alafu why aliwapa Adhabu? chanzo ni huo ubishano kisha akajidai eti anawauliza watake majina aliyomfundisha Adam pekee na waliposhindwa akawapa adhabu ya kumsujudia Adam Shirk Quran ina story za kipumbavu pumbavu tu
Allah Mzushi hakuna analojua Uthibitisho Malaika wana akili kuliko Allah hahaha
Aya 2:32 usitake kuipaka paka mafuta ing'ae hahaha walikuwa wakijibu wataje majia aliyofundishwa Adam pakee Allah was crazy kamfundisha Adam pekee kisha anawauliza Malaika wajibu kama ni waaminifu eti in kuntum saadiqeen wakati lenyewe haijui kiama ni lini hahaha unajua hata uumbaji anasema kuna mwingine ndie aliwaumbia na sio yeye
Quran 21:33 Sahih International:And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [heavenly bodies] in an orbit are swimming.
Unamjua huyo He? maana Quran yote anayeongea ni Allah hahahaha
Kuhusu Contradict Quran yote inaji oonctradict nitajie Aya ambayo haina contradict na mimi nitakuwekea aya inayopingana hahaha
Kwa hiyo umeamua kuipasua Quran inavyojipinga yenyewe kwa yenyewe hahaha hizo aya ni vichekesho aya nyingi zinasema Allah ndie anawapangia kila kitu wewe unaleta eti unasema freewill katika uislam you no need kuswali wala zaka wala sadaka umeshaandaliwa fate yako either mwizi,taperi,korofi,mzinifu n.k wajua Allah amekupangia idadi ya mademu utakao sex nao katika maisha hahahaQur’an inasema binadamu anayo free will
Al-Insan 76:3:
“Na tukamwonyesha njia mbili; ama ashukuru au akufuru.”
Al-Kahf 18:29:
“Atakaye, aamini; atakaye, akufuru.”
Al-Balad 90:10:
“Na tukamuongoza njia mbili (ya kheri na shari).”
As-Shams 91:8:
“Ameilainisha (nafsi) na kuijulisha uovu wake na ucha-Mungu wake.”
binadamu ana hiari. Allah anajua utakachochagua, lakini hajakulazimishakujua si kulazimisha. Mfano: Mwalimu anajua mwanafunzi mjinga atafeli, lakini kujua kwake hakusababishi kufeli.
HahaaaMakao makuu ya Umoja wa Mataifa yalitakuwa kuwa kwenye kisiwa kinachoendeshwa na Umoja wa Mataifa.
Hawa marais wanavyokuja New York City hata wakazi wa New York City hatupendi kwa sababu wana haribu traffic sana.
Unachekesha kama Allah na wewe, so kwahiyo hata wewe Allah akifanya jambo lake ukalihoji ni Heshima kwa Mungu wako? na hapo hapo unakuwa na Adabu eti hahahaha Muslim mna raha mnarukwa ya kuhoji why Allah kafanya hiki na kile mnahoji kwa Heshima.. hahahaha umejifunza kwa Shehe gani nikamfallow kwenye social Media. only Christian and Jews ndio tunaweza msema kumhoji na kumtukana Allah kama yeye alivyotutukana na ameamua tuwe Adui kwake kalianzisha yeye kwa sababu ni muovu kwetu.qālū(wakasema) sio kuhoji kwa kupinga, ni istifhām ta‘ajjubi yaani swali la kushangaa au kutaka kuelewa hekima.
Malaika walizungumza kwa adabu na kwa kutaka kuelewa, si kwa kupinga.
Unafiki mtupuYaah na hakuna anaeongelea hilo, binafsi naona hiyo propaganda ya "free Palestine " imejibu vizuri sana, watu wameingia kingi mno.
Kuna podcast moja jamaa anaongea na mtu wa Somalia, Msomali yule ati hataki kuongelea yanayoendelea nchini kwake bali kakazana na "free Palestine "
Naona unajaribu kuwatetea Malaika ila Aya inakuumbua Meeen. unamaanisha walipotaka kujua Hekima ya Allah wao walikuwa kinyume so walikuwa wanamuona Allah kadata na hana Hekima so wakaona wamuulize tu eh mkulu tunajua huyo mwanadamu unayemuumba ni corrupt, Allah akawaambia mnajua nini nyie makenge mimi najua kuliko nyie hahaha unamhoji Allah hahahaha wewe for sure ni fake Muslim kama Nduguyo Adiosamigo.Walitaka kujua hekima ya kuumba kiumbe kitakachomwaga damu baada ya waliokuwepo kabla yao (majini) kufanya hivyo.
hawakubishana waliuliza kwa sababu walikuwa wanashuhudia mifano ya uharibifu wa majini waliokuwa wakikaa duniani kabla ya binadamu.
Usifanye fasiri ya Qur’an kwa kutumia Google Translate Kiarabu cha Qur’an hakisomeki kwa copy and paste kina mizani, nahau, na balagha ambayo hata Waarabu wa leo wanaitumia kama marejeo ya lugha sahihi.Mimi siangalii au kufuata ulivyodanganywa tunaweka Aya na tunaichambua from Lugha original hadi Tafsir ndio maana najitoa kuwaelewesheni jinsi mnavyodanganywa kila siku na kibaya mnafundishwa jinsi ya kudanganya na kudanganya wengine ili mpotee wote motoni hahahaha. Tuende Directly kwenye Aya inmeandikaje na ukileta ubishi tuende kwa wanazuoni wa Kiislam wamei tafsiri vipi hiyo Aya ya Kiama mwezi utapasuka na according to muslim Mwezi ulipasuka hahaha je wewe unakataa Mwezi haukupasuka? mbishie Mtume wako nakupambanisha nae leo hahaha
Quran 54:1 - ٱقۡتَرَبَتِ ٱلسَّاعَةُ وَٱنشَقَّ ٱلۡقَمَرُ
Iqtarabatis Saa’atu wan shaqqal qamar
Tafsir ya Google imeua kabisa kuwa Mwezi ulishawahi gawanyika hahahaha inasema =
Saa imekaribia, na mwezi umegawanyika.
Twende Sahih International inasema kiama kikikaribia na mwezi umegawanyika vipande viwili - The Hour has drawn near and the moon was split ˹in two
Twende kwa Mukhisin Khan ndio kaua kabisa anasema Watu wa Mecca walitaka kuona muujiza japo mmoja wa Njemba Mohammad basi akawaonesha Mwezi umepasuka hahahaha
Muhsin Khan
The Hour has drawn near, and the moon has been cleft asunder (the people of Makkah requested Prophet Muhammad SAW to show them a miracle, so he showed them the splitting of the moon).
Sasa kwa Story hii na Aya wote Allah na Mohammad wote ni mataperi hakuna cha Mwisho wa Dunia kwa Dalili zao na ni uthibitisho wa Allah sio Mungu na hajui hata Saa ya Kiama problably na yeye anasuburi tu kuingiza guu lake kwenye moto na Moto utasema Qati Qati Quran 50:30 islam i fake religion hivi ndio mnavyoamini mfundishwayo? inasikitisha sana
Kuona hujui na kusoma pia? Allah akawaadhibu Malaika kwa Kuwasujudisha kwa Adam Shirk ndio Jini hakusujudu kwani hakuhusika na kosa la kumhoji Allah bali Alionewa tu na adhabu ya kufukuzwa Firdaus akapewa soma Soma Quran 2:34 walipigishwa Magoti mbele ya AdamKama Malaika walibishana, Allah angewaadhibu Lakini Qur’an haionyeshi popote adhabu kKinyume chake, Allah aliwajibu kwa hekima, kisha aliwafundisha kwa mfano wa elimu ya Adam.
eti Unasema... nani hao? wajua Malaika Mtoa roho alitumwa kunyofoa roho ya Nabii Musa akachezea kichapo usiku wa Vitasa akangolewa jicho hadi likani'ingia na uso kupasuka? Akarejea kwa Allah akisema mja wako amegoma kufa? kazi ya Allah aliyoamuriwa Malaika alishindwa au Hujawahi Sikia hiyo Story? hahaha Myahudi aligoma kudedi na llah akashindwa kazi akadai utaishi miaka kadhaa Allah ni FakeQur’an inasema:
“Hawamwasi Allah katika yale anayowaamuru.” (At-Tahrim 66:6)
Na majini tuliwaumba kabla, kwa moto wa upepo wa joto.”) — [Qur’an 15:27]Nioneshe hiyo Aya inayosema Majini yaliishi Duniani kabla ya Binadamu tucheke wote hahaha kwa Taarifa yako Quran inataja Jini ni Iblis pekee na alifukuwa firdauskiuonevu wa Allah after kisa hiko Malaika walipokuwa wakiadhibiwa na Allah kumsujudia Adam Quran inasema Adam na Iblis ndio walifukuzwa Firdaus so hayo Majini yaliyoishi Duniani kabla ya Adam na Shetani ni wazazi wako? kama wajua hebu tumuumbue Allah kwa Uongo wake. so Majini yaliharibu Dunia so Tafsir ya Khalifa ni kiongozi mbadala so Adam kuwa Khalifa wa Allah mean Allah ni Jini pia so Allah aliishi Duniani na ndie Jini ambalo ndio Iblis so Adam aliupokea u khalifa from Allah aka Iblis aka Jini. Alafu naomba Hadithi au Aya inayosema Majini yaliishi
Yaani unakataa tafsiri ya Google unatumia Tafsiri ya Barwan hahaha am using muslim translate kuwaambueni nyie na Google maneno mengine yamajazwa na muslim kuficha aibu ya Allah.Usifanye fasiri ya Qur’an kwa kutumia Google Translate Kiarabu cha Qur’an hakisomeki kwa copy and paste kina mizani, nahau, na balagha ambayo hata Waarabu wa leo wanaitumia kama marejeo ya lugha sahihi.
Sasa ngoja nikufundishe darasa dogo la sarf bure, kwa sababu hujui unachokisoma
"Iqtarabat" = imekaribia (kitenzi cha wakati uliopita kwa mtindo wa taqrīb , kuonesha jambo lililo karibu sana kutokea)
"Inshaqqal qamar" = umepasuka (kitenzi cha wakati uliopita, likihusu tukio lililokwisha kutokea)
Qur’an inasema mambo mawili tofauti
1. Saa (kiama) imekaribia haijasema “imefika”
2. Mwezi umepasuka kama muujiza uliokwisha kutokea.
Kila adhabu imewekwa wazi kwenye Qur’an Malaika walisujudu kama inlvyohitajika ,ibilisi ndio aliyechaguliwa kuadhibiwa adhabu kwa kukaidi amriKuona hujui na kusoma pia? Allah akawaadhibu Malaika kwa Kuwasujudisha kwa Adam Shirk ndio Jini hakusujudu kwani hakuhusika na kosa la kumhoji Allah bali Alionewa tu na adhabu ya kufukuzwa Firdaus akapewa soma Soma Quran 2:34 walipigishwa Magoti mbele ya Adam
Hahaha Quran 21:30 Allah kasema aliumba kila kiumbe hai kwa kutumia Maji ndio Contradictions Allah ni Muongo anajipa sifa ambazo hana uwezo nazo hahahahaha pia eti Dunia na Mbingu zilikuwa zimeungana pamoja hahahaNa majini tuliwaumba kabla, kwa moto wa upepo wa joto.”) — [Qur’an 15:27]
Amri gani wakati walioambiwa wasujudu ni Malaika na Iblis hakuwa Malaika ni Jini wewe pia umekuwa muonevu kama Allah. ndio maana Iblis alilalamika kwa kupewa kosa asilolitenda Makosa wafanya Malaika adhabu atumikie Jini huyooo. Na Ibls alimchana live bila chenga kuwa Allah amemuonea na aalipiza kisasi na Allah akakubali hao Iblis atakaowapotosha wataenda kwa Allah strainght mean Allah ndio Shetani na Shetani ni Allah same being. Quran 15:39Kila adhabu imewekwa wazi kwenye Qur’an Malaika walisujudu kama inlvyohitajika ,ibilisi ndio aliyechaguliwa kuadhibiwa adhabu kwa kukaidi amri
Qur’an inatafsiriwa kwa ufafanuzi wa kila kitenzi, si kwa kuunganisha maneno bila muktadha. Hivyo, kujaribu kuunganisha “imekaribia” na “umepasuka” kama tukio la kiama ni logical fallacy, kwa sababu Qur’an inatofautisha muda wa matukio.Yaani unakataa tafsiri ya Google unatumia Tafsiri ya Barwan hahaha am using muslim translate kuwaambueni nyie na Google maneno mengine yamajazwa na muslim kuficha aibu ya Allah.
Huna haja ya kunipa Elimu ya uongo na ujinga hiyo Aya imetafsiliwa na waislam wengi mno naweza kukuwekea lundo ila uzuri ushakubali kuwa Mwezi ulipasuka so waislam wanaamini Mwezi ulishawahi pasuka vipande viwili hadi katikati kule mecca walisimama watu kipade kimoja cha mwezi kushoto ya mlima na kingine kulia kwa mlima pale Mecca hahahahaha
Sasa tuambie hizo Dalili za Kiama cha kwanza Mwezi upasuke vipande viwili mean hilo jambo litatokea mara nyingine tena, vipi kuhusu Mohammad kuna hadithi alisema kuna mtoto mdogo hatokuwa mtu mzima kiama kitakuwa kishafika hahaha kichekesho huyo mtoto alikuja kukua hadi akawa mtu mzima hadi uzee bila kiama hahahaha
Anas b. Malik reported that a person asked Allah's Apostle (ﷺ):
When would the Last Hour come? Thereupon Allah's Messenger (way peace be upon him) kept quiet for a while. Then looked at a young boy in his presence belonging to the tribe of Azd Shanu'a and he said: If this boy lives he would not grow very old till the Last Hour would come to you. Anas said that this young boy was of our age during those days.Sahih Muslim 2953b
Mohammad tokea lii anamuujiza wewe kilaza Quran imesema Mohammad amezuiwa kuwa na muujiza wowote au huujui Uislam Quran 17:59 ujinga wa Allah baada ya kukwama kumpa Mohammad muujiza wowote akasema eti hana sababu na sio kwamba anashindwa kumpa uwezo Mohammad wa kutenda miujiza bali ni sababu ya watu wa Thamud walipelekewa mitume waliofanya miujiza na hawakuiamini sababu ya kijinga kabisa ya kusingiziaa maana Allah alikuwa anaumbuka Mohammad alikuwa amajitungia tu eti ana Mungu hahahahaHata tafsir zote ulizozinukuu, za Muhsin Khan, Ibn Kathir, na Tafsir al-Tabari, zinasema wazi kuwa ni muujiza wa Mtume, sio Kiyama.