Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #21
Israel hawezi kusubutu kufanya hayo kwa Iran, hio imetokana na hali ya hewa mbaya au matatizo ya helicopter yenyewe inaonyesha ya zamani sana.Mhhhh
Hapa kuna wa Israel kabisaa
..Rais wa Iran aitwaye Raisi...Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.