Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Ukubwa wa Irani uko wapi kama ndege ya iliyobeba Rais inapotea kijinga namna hiyo?
Kwanza unampelekaje Rais kwenye hali ya hewa mbaya namna ile tena kwa ki helikopta cha zamani?
Kwani ile ndege ya Malaysia ilipotea vipi?
 
Hapo unaizushia uongo Israel!
Iran imeanza kuichezea Israel muda mrefu hata kabla ya Raisi kufa kwa ajali.
Raisi amekufa kwa wakati wake kama binadamu wengi wanavyokufa!
................Lakini hawakuwahi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Israel..๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
Lilikuwa ni Swala la Muda tu hawa ndgu zetu wa Kobazi tokea Iran Kucheza na Taifa Teule la Mungu Israel ona sasa wavaa kobazi wa Iran wanatolewa Kamasi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa kama kweli israel kidume.waambieni wathibitishe kuwa wao ndo wamemuua rais.
 


45. Ikakatwa mizizi ya watu walio dhulumu - na wa kuhimidiwa ni Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote

(Qur-aan 6 : 45)
 
Sasa kama kweli israel kidume.waambieni wathibitishe kuwa wao ndo wamemuua rais.
Kwa hiyo unataka kabisa ndgu yangu watu watoe mpaka siri za mifumo ya kiintelijensia nchini kwao? au waanike siri zao kama komando wenu muuza madafu Never happen in this World!
 
Hata mimi nilipoiona hii habari jana nilijua hili litatokea. Tofauti na ajali nyingine, uwezekano wa kupona kwenye sector ya anga hua ni mdogo sana
Angalia hata utafutaji wake hivi kweli kama walianguka na wakapona wakahitaji msaada wa haraka kwa muda wote huo waliotumia kuwatafuta si watakuta wamekufa kabisa dah huu msiba.
 
"Hard landing" chopper lililazimishwa kushuka chini! Chezea tena!
 
Lizee la hovyo kabisaaa wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ngoja leo nikakuchangie kwenye logde yako nipo kahama nimepata kipozeo
Karibu sana mkuu, kwetu sisi mteja ni zaidi ya mfalme..๐Ÿ˜Š
 
Correction, overcame sio overcome. Kifo/matatizo sio adhabu kwa watenda maovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ