Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

naam.mkiristo akifa ni hasara kwake
Nimekuona! Anza kuwakubali Israel sasa. Kama wamemaliza Raisi, hamas ni kitu gani? Naona mwisho wa vita kati ya marafiki zako na wayahudi inakaribia mwisho. Na useme Amen
 
Nimekuona! Anza kuwakubali Israel sasa. Kama wamemaliza Raisi, hamas ni kitu gani? Naona mwisho wa vita kati ya marafiki zako na wayahudi inakaribia mwisho. Na useme Amen
kwani Isrel ndio wanaua? bibi yako akuliwa na Isreal? wewe utakufa kutokana na Israel? Mandela kafa kwa Isreal? acha wehu huo? hao majeshi ya Isreal wanauana wenyewe kwa wenyewe? Kila nafsi itakufa
 
"Kila nafsi itaonja mauti. Na hakika mtalipwa kikamilifu ujira wenu Siku ya Kiyama. Na atakayeepushwa na Moto na kuingizwa Peponi, basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu."

Aya hii inasisitiza ukweli kwamba kifo ni sehemu isiyoepukika ya maisha na kwamba malipo ya kweli ya matendo yetu yatapatikana Siku ya Kiyama. Inahimiza pia umuhimu wa kutafuta mafanikio ya kweli ambayo ni kuokolewa na Moto na kuingizwa Peponi.
 
Usifurahie vifo vya watu sababu ya itikadi zako. Mungu pia anaweza kukuadhibu na wewe upatwe na msiba mzito ndani ya familia yako. Nyie mnafurahia kusikia watu wanakufa Gaza/Israel na kule Ukraine KISA TU USHABIKI NA ITIKADI. KWA JINSI ULIVYOFURAHIA KIFO CHA HUYO RAIS WA IRAN NADHANI MUNGU AKUFUNDISHE TU , OTHERWISE OMBA HIYO ROHO YAKO ITAKASWE NA USAMEHEWE
 
Wakiristo wa jf watu ajabu snaa. wanaroho ya kutisha katika nafsi zao
 
Basi acheni UPUMBAVU.ajali utokea kwa mtu yoyote. Israel wangetamani kumuia ila huo uwezo hawana

Wewe unashupaza misuli ya shingo utafikiri umefanya uchunguzi wa ajali na kuondoa uwezekano wa hujuma. Ujinga ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…