Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Israel hana uwezo na hawezi kufikiria kumgusa Iran official yeyote.
We unadhani officials wa Iran sawa na makamanda wa Lebanon!?
Israel hawezi maana that means to a full war escalation.
Basi ndio wamemgusa sasa. Hutaki!
 
Helicopter ajali zake zimekuwa nyingi kama bodabodaaa...!! Nadhani kuna poor service na maintanance yakeee kuanzia kina filikunjombe...kobe..mmiliki wa Leicester...general wa kenya now rais wa iran.. SIO USAFIRII SALAMA KABISA.
Fact! Kuna watu wanaleta porojo humu.
 
Kafie mbele huko tukio la October 7th mwaka jana mbona watu walishangilia humu.
 


I knew, Israel ina mkono mrefu sana dunia hii and will eliminate any human in this world, is the matter of time tu kwao, yaani Israel usicheze nayo kabisa..!!
 
Umeelezea vizuri mkuu na ni kweli zinatumika kwa rescue mission nyingi tu mpaka milimani
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…