Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Israel hana uwezo na hawezi kufikiria kumgusa Iran official yeyote.
We unadhani officials wa Iran sawa na makamanda wa Lebanon!?
Israel hawezi maana that means to a full war escalation.
Basi ndio wamemgusa sasa. Hutaki!
 
1000121034.jpg
 
Helicopter ajali zake zimekuwa nyingi kama bodabodaaa...!! Nadhani kuna poor service na maintanance yakeee kuanzia kina filikunjombe...kobe..mmiliki wa Leicester...general wa kenya now rais wa iran.. SIO USAFIRII SALAMA KABISA.
Fact! Kuna watu wanaleta porojo humu.
 
Usifurahie vifo vya watu sababu ya itikadi zako. Mungu pia anaweza kukuadhibu na wewe upatwe na msiba mzito ndani ya familia yako. Nyie mnafurahia kusikia watu wanakufa Gaza/Israel na kule Ukraine KISA TU USHABIKI NA ITIKADI. KWA JINSI ULIVYOFURAHIA KIFO CHA HUYO RAIS WA IRAN NADHANI MUNGU AKUFUNDISHE TU , OTHERWISE OMBA HIYO ROHO YAKO ITAKASWE NA USAMEHEWE
Kafie mbele huko tukio la October 7th mwaka jana mbona watu walishangilia humu.
 
7:59 PM EDT -- BREAKING NEWS:
Iran Intelligence and Special Forces have raided the Embassy of India on information that India acted against Iranian President Helicopter, on behalf of Israel.
more:
Reportedly Iranian intelligence is on the hunt for an Indian national spotted near the helicopter just hours before President Raisi's boarding.


I knew, Israel ina mkono mrefu sana dunia hii and will eliminate any human in this world, is the matter of time tu kwao, yaani Israel usicheze nayo kabisa..!!
 
Mkuu helicopter inafika mahala ambapo ndege haifiki. Kwenye rescue missions wanatumia helicopter kuliko ndege. Kwenye rough weather, kuzima moto, kupita sehemu korofi kama milimani. Helicopter inapitia mazingira magumu nayo inachangia ajari zake kuwa nyingi, ni kama Mloganzila inapewa wagonjwa walioshindikana alafu inalaumiwa kwa kuwa na vifo vingi.

Ukiachana na hizi za kina Deo Filikunjombe, VIP transport ya head of state kama Iran inatakiwa service na airworthiness nzuri sana. Na lazima mazingira yawe rafiki, sio suala kama la Kobe Bryant rubani alijiamulia kuendesha, kwa Rais kuna security protocols.
Mbona hata Marekani wana Marine One ya kumbeba Rais
Umeelezea vizuri mkuu na ni kweli zinatumika kwa rescue mission nyingi tu mpaka milimani
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom