T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Helicopter bado ni salama kiasi chake. Ila hizi mbili latest za General wa Kenya na huyu Rais wa Iran zilikuwa nzee sana. Ile ya Kobe ni ukungu, ile ya Filikunjombe ni poor service kama kawaida ya mihelikopta ya Kenya kuwa ngalangalaHelicopter ajali zake zimekuwa nyingi kama bodabodaaa...!! Nadhani kuna poor service na maintanance yakeee kuanzia kina filikunjombe...kobe..mmiliki wa Leicester...general wa kenya now rais wa iran.. SIO USAFIRII SALAMA KABISA.
Shida ilikuwa kujua eneo ilipodondokea. Ndege yaweza pata hitilafu hapa mkaikuta Chalinze.Sasa wangerudi wafanye nini??? Wakati kuipata tu hiyo helcopter imechukua siku 2 sijuii.. Wao wasingeweza kurisk piaa.
Hili tukio labda litawaamsha.Hawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.
Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.
Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.
Waache washangilie wao, na kama roho yako inakuongoza ufurahie kifo cha mtu ambaye hana vita na wewe BASI JIHESABU WEWE NI SHETANIKafie mbele huko tukio la October 7th mwaka jana mbona watu walishangilia humu.
Kwani ajali nyingine zote za ndege na helicopter zinakuwa na mkono wa Israel? Taarifa zinadai kulikuwa na hali ya ukungu katika eneo ambalo chombo kilikwenda, kwa hio huenda ikawa hali ya hewa imecha gia kusababisha ajaliIzrael wametumia nanotechnology
Msafara wa Huyo Raisi wa Iran Yaani Convoy ulikuwa na helikopta tatuI knew, Israel ina mkono mrefu sana dunia hii and will eliminate any human in this world, is the matter of time tu kwao, yaani Israel usicheze nayo kabisa..!!
Nipe hiyo aya kutoka kwenye QuranIla wavaa kobazi wanaosubiri kujitoa muhanga wakapate mabikra 72 pembeni ya kijito cha pombe ndo wana akili!? Acha kuchekesha aisee, nyie wote (mliokataa asili yenu na kupokea dini za majahazi) HAMNA AKILI.
Kijana iran sio Afghanistan.Israeli hata akiua mgambo huwa hasemi chochote. Kwenye diplomasia ya kidunia hakuna taifa jinga kiasi hicho, kwamba hata kama ni kweli waende hadharani na kukiri hayo.
kafa akiwa muislam. Muonee huruma aliekufa akiwa sio muislamKuliko wafuasi wa mo ?. Acha swahiba wenu akatembeze borrow kwa bikra 72
Na mimi nasisitiza hili,kifaa Chao ni kibovuIran isianze kuizushia uongo Israel!
Pole sana maalimOna huyu matako mwengine!
Masuala ya Iran na masuala ya kuabudu yanaingilianaje?
Embu ngojea niku block maana ni kichaa wewe.
Mimi ni shetani kweli..Waache washangilie wao, na kama roho yako inakuongoza ufurahie kifo cha mtu ambaye hana vita na wewe BASI JIHESABU WEWE NI SHETANI
Hii post ilikuwa ya jana mapema baada ya hii taarifa kuiona hapa. Nikaenda aljazeera, france24 sikuiona. Ndio nikaandika.Hiyo taarifa ya kifo cha huyo raisi wa Iran wanazo watoto wa uswahilini Temeke huko.
Dunia ina maajabu sana
Kwa hyo huo ukungu umeletwa na Israeli?π€£π€£π€£π€£π€£.haya ni mahaba juu ya israel.sikia mimi sikatai kuwa israel hawawezi kuhusika kwenye hyo ajali.ila nataka kujua wanahusikaje hichotu.mimi nina akili zangu uwa spending kushikiwa akili.yaani sababu fulani na fulani wana gombana mmoja akifa basi yule fulani ndo kamuua mwenyewe yaani hata. Bila uthibitisho unaaminiYa Rais?
Helicopter 3 ila Moja ndio imeushindwa ukungu?
Nani kaielekeza ndege Moja tu ya Rais Kwenye ukungu? πΌKwa hyo huo ukungu umeletwa na Israeli?π€£π€£π€£π€£π€£.haya ni mahaba juu ya israel.sikia mimi sikatai kuwa israel hawawezi kuhusika kwenye hyo ajali.ila nataka kujua wanahusikaje hichotu.mimi nina akili zangu uwa spending kushikiwa akili.yaani sababu fulani na fulani wana gombana mmoja akifa basi yule fulani ndo kamuua mwenyewe yaani hata. Bila uthibitisho unaamini
Hii hoja siyo kweli usimuingizie Mungu mawazo yako nikuulize baba akifa kaacha watoto 4 wa kwanza darasa la 4 wa mwisho ana mwaka mmoja unataka kusema huyu hakuwa na umuhim hapa duniani?Binadamu yeyote anapo kufa huwa ina maanisha kuwa hana tena faida ndani ya dunia ndo maana mungu huwa anamuondoa ,hata ww siku faida ya uwepo wako ikiisha utaondolewa kama wengine walivyo ondolewa.
π hivi we ni ujinga au unajitoa akili, sa vipi wale walio kufa wa Israel kwa kujipiga wenyewe kwa wenyewe kwanini asiwakingie kifua wasife, au wanao uliwa na Hamas au pia anafanya ubaguzi kwa wengine waisrael kama anavyo wabagua wote wasio kuwa waisrael.Acha vichekesho bana. Mungu wa Israel ni mkuu sana.
Hata yale ma-land cruiser yanatumiwa na red crescent ni ya zamani mno.Na mimi nasisitiza hili,kifaa Chao ni kibovu