cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Unawapenda sana wayahudi ee
"Wala Mayahudi hawatakuridhia wewe (Ewe Mtume) wala Manasara (Wakristo) mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Mwenyezi Mungu ndio mwongozo (wa haki). Na kama ukifuata matamanio yao baada ya elimu iliyokujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kutoka kwa Mwenyezi Mungu." (Qur'ani 2:120)Ukweli unauma.....akili za Waajame bwana! .....Kelele kila siku....Death to Great Satan....Kumbe Rais anatumia chopper ya Marekani ya 1968.....ambayo hujui hata spares wanapata wapi!
"Wala Mayahudi hawatakuridhia wewe (Ewe Mtume) wala Manasara (Wakristo) mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Mwenyezi Mungu ndio mwongozo (wa haki). Na kama ukifuata matamanio yao baada ya elimu iliyokujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kutoka kwa Mwenyezi Mungu." (Qur'ani 2:120)
Tafsiri ya aya hii inabainisha kwamba Wayahudi na Wakristo hawataridhika na Muislamu mpaka awafuate katika dini yao. Hivyo, Waislamu wanakumbushwa kwamba mwongozo wa haki ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu tu, na wasifuate matamanio ya watu wengine baada ya kupata elimu sahihi ya Uislamu.
Aya hii inawapa Waislamu onyo na ushauri wa kutokubali shinikizo la kufuata mila au njia za dini nyingine na badala yake wazingatie mwongozo wa Mwenyezi Mungu, ambao ndio wa haki na sahihi.
Wakati mnawachinja Wakristo huko Libya Nigeria na Janjaweed Arab Millitia ikiuwa ndugu zetu Waafrika huko Darfur huwa ni heshima kwa Isa bin Mariam?
Imejulikana ilipo kwa kuonwa na drone ya Uturuki iliyokuwa na night vision camera. Hao Wairan walitumia masaa zaidi ya 16 kuitafuta wakati drone ya Uturuki ilikuja usikuHelicopter imejulikana ilipo tangu jana saa 4 za usiku kimbembe kilikuwa ni kufika eneo la tukio.
WAISLAMMalizia kabiosa....Huu ndio mwongozo wa kupata Bikra 72.......!
WAKIRSTO NA WASIOKUWA WAISLAM BAADA YA KUFAWakati mnawachinja Wakristo huko Libya Nigeria na Janjaweed Arab Millitia ikiuwa ndugu zetu Waafrika huko Darfur huwa ni heshima kwa Isa bin Mariam?
Achana na Rais kupandishwa ngalangala. Swali langu lilikuwa kwanini maofisa wa Iran wamsafirishe Rais kwa helicopter kwenye hali mbaya ya hewa na mazingira magumu. Na kwanini Rais helicopter yake itafutwe zaidi ya masaa 16 bilabila mpaka Uturuki itoe msaada, wakati alipoanguka wanadai ni 600 miles kutoka mji mkuu. Hawako serious hawa maafisaIran nao kuna watu pale ni wa$3nge sana, mi hii habari nimepata nilivyoangalia na picha ya helicopter nikasema huyu mzee katangulia.
Iran na wao wafikie muda waache u$3ng3 pumb@v kabisa, yaani rais anabebwa na helicopter ipo kama tractor, ndege yenyewe haionekani hata kama inaweza kujihami ikitokea shambulizi.
Hao wanausalama ni wa$3ng3 tu, na kuanzia leo sitaki tena mijadala kuchangia huu upuuzi wa vita ya Israel na Iran.
Hao wayahudi ni wajanja sana, unakuta miaka kadhaa nyuma walifanya mchongo kupeleka vipuri vya hio ndege ambavyo wangeweza kuvi control remotely na ndege ika mis behave na kuanguka.
Mnafahamu mna maadui NATO, Israel na US, halafu mnampandisha mzee wa watu ndege ipo kama guta, hivi hao wana usalama wa rais wana akili?
Mijamaa mi$3ng3 kweli. Acha wafe m@t@k0 yao.
Shit.
Ina maana jamaa anapatiwa massage hivi sasa?73 Virgins wameshamzunguka tayari kwa kumpa Service Marehemu Mzee Ayatula.
Yap completely uzembe wao wenyewe, hakuna wa kumlaumu kwenye hiliNi uzembe tu,
Ni wazi vifaa vingi bado viko ktk service toka kuzinduliwa,ila linapokuja swala la kuhudumia VIPs nadhani vinaongezewa umakini.
Hawa jamaa wamepuyanga pakubwa.
Israel ilishasema! We will respond at the right time! Walikuwa wanamfanyia surveillance muda mrefu kaingia kwenye 18 zao wakampa za uso!ππππKwani ajali nyingine zote za ndege na helicopter zinakuwa na mkono wa Israel? Taarifa zinadai kulikuwa na hali ya ukungu katika eneo ambalo chombo kilikwenda, kwa hio huenda ikawa hali ya hewa imecha gia kusababisha ajali
Israel naye wanamlia timing!Bado yule Ayatula wa Hezbola.
zilikua helicoptar 3 mbili zimefika salama ina maana izo nyingine hali ya hewa haikua tatizo ianguke iliyombeba Raisi tuNi Ajali kama Ajali Zingine muache Kuwapa Sifa zakijinga wajinga kama Nyie
Iran kelele tu nyingi hayuko kama anavyotamba misikitiniImejulikana ilipo kwa kuonwa na drone ya Uturuki iliyokuwa na night vision camera. Hao Wairan walitumia masaa zaidi ya 16 kuitafuta wakati drone ya Uturuki ilikuja usiku
Nilimtizama Putin anaingia China na ile jet yake hapa juzi, yaani jamaa alivyoingia pale ulinzi ulikua si wa kitoto, escort ya kufa mtu pande zote walinzi wametapakaa na attention kwa chochote, nikasema kweli wapo serious.Achana na Rais kupandishwa ngalangala. Swali langu lilikuwa kwanini maofisa wa Iran wamsafirishe Rais kwa helicopter kwenye hali mbaya ya hewa na mazingira magumu. Na kwanini Rais helicopter yake itafutwe zaidi ya masaa 16 bilabila mpaka Uturuki itoe msaada, wakati alipoanguka wanadai ni 600 miles kutoka mji mkuu. Hawako serious hawa maafisa