Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Ukweli unauma.....akili za Waajame bwana! .....Kelele kila siku....Death to Great Satan....Kumbe Rais anatumia chopper ya Marekani ya 1968.....ambayo hujui hata spares wanapata wapi!
"Wala Mayahudi hawatakuridhia wewe (Ewe Mtume) wala Manasara (Wakristo) mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Mwenyezi Mungu ndio mwongozo (wa haki). Na kama ukifuata matamanio yao baada ya elimu iliyokujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kutoka kwa Mwenyezi Mungu." (Qur'ani 2:120)

Tafsiri ya aya hii inabainisha kwamba Wayahudi na Wakristo hawataridhika na Muislamu mpaka awafuate katika dini yao. Hivyo, Waislamu wanakumbushwa kwamba mwongozo wa haki ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu tu, na wasifuate matamanio ya watu wengine baada ya kupata elimu sahihi ya Uislamu.

Aya hii inawapa Waislamu onyo na ushauri wa kutokubali shinikizo la kufuata mila au njia za dini nyingine na badala yake wazingatie mwongozo wa Mwenyezi Mungu, ambao ndio wa haki na sahihi.
 
Malizia kabiosa....Huu ndio mwongozo wa kupata Bikra 72.......!
 
Rais wa Iran Ebrahim Raisi, mtu mwenye msimamo mkali kwa muda mrefu aliyeonekana kuwa mrithi wa Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei, alifariki katika ajali ya helikopta katika eneo la milima karibu na mpaka wa Azerbaijan, maafisa na vyombo vya habari vya serikali vilisema Jumatatu.

Mabaki ya helikopta iliyoungua siku ya Jumapili ikiwa imewabeba Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amirabdollahian yalipatikana mapema Jumatatu baada ya msako wa usiku kucha katika hali ya hewa ya kimbunga.

Iranian President Ebrahim Raisi confirmed dead in helicopter crash
 
AISeeee nachanganyikiwa... ayatollah s ndo kiongozi wa iran au?
 
Malizia kabiosa....Huu ndio mwongozo wa kupata Bikra 72.......!
WAISLAM
"Hivyo ndivyo itakavyokuwa; na tutawaozesha na wale wanawake wenye macho makubwa mazuri." (Qur'ani 44:54)

Pia katika Surah Al-Tur, Aya ya 20, inasema:

"Wakiwa wameegemea katika viti vya enzi vilivyopangwa safu. Na tutawaozesha na wale wanawake wenye macho mazuri makubwa." (Qur'ani 52:20)

WAKIRISTO NA WASIOKUWA WAISLAM

    • Maji ya Moto na Usaa: Watu wa Motoni watalazimika kunywa maji ya moto na usaha, ambayo yatakuwa ni mateso makubwa kwao.
    • Njaa na Kiungulia: Watakumbwa na njaa na kiungulia ambavyo havitazimwa kwa chakula au kinywaji chochote. Katika Surah Al-Ghashiyah, Aya ya 6-7, inasema:"Hawatakuwa na chakula ila mti wenye miiba. Hautanenepesha wala hautashibisha njaa." (Qur'ani 88:6-7)
    • Nguo za Moto: Watu wa Motoni watavishwa nguo za moto, kama inavyosemwa katika Surah Al-Hajj, Aya ya 19:"Hizi ni sehemu mbili zenye kugombana, ambazo ziligombana kuhusu Mola wao Mlezi. Basi wale waliokufuru watakatwa nguo za moto, na juu ya vichwa vyao yatamiminwa maji yenye kuchemka." (Qur'ani 22:19)
  • Majuto na Masikitiko:
    • Watu wa Motoni watajuta kwa kutokufuata mwongozo wa Mwenyezi Mungu na watakuwa na masikitiko makubwa kwa yale waliyoyafanya duniani. Katika Surah Al-Mulk, Aya ya 10, inasema:"Na walisema: Lau tungelisikia au tungelitafakari, tusingelikuwa katika watu wa Moto wa Jahannam." (Qur'ani 67:10)
  • Ukosefu wa Msaada:
    • Watu wa Motoni hawatapata mlinzi wala msaidizi. Watakuwa peke yao katika mateso yao. Katika Surah Al-Baqarah, Aya ya 86, inasema:"Hao ndio walionunua maisha ya duniani kwa Akhera, basi adhabu yao haitapunguzwa, wala hawatanusuriwa." (Qur'ani 2:86)
 
Wakati mnawachinja Wakristo huko Libya Nigeria na Janjaweed Arab Millitia ikiuwa ndugu zetu Waafrika huko Darfur huwa ni heshima kwa Isa bin Mariam?
WAKIRSTO NA WASIOKUWA WAISLAM BAADA YA KUFA
  • Maji ya Moto na Usaa: Watu wa Motoni watalazimika kunywa maji ya moto na usaha, ambayo yatakuwa ni mateso makubwa kwao.
  • Njaa na Kiungulia: Watakumbwa na njaa na kiungulia ambavyo havitazimwa kwa chakula au kinywaji chochote. Katika Surah Al-Ghashiyah, Aya ya 6-7, inasema:"Hawatakuwa na chakula ila mti wenye miiba. Hautanenepesha wala hautashibisha njaa." (Qur'ani 88:6-7)
  • Nguo za Moto: Watu wa Motoni watavishwa nguo za moto, kama inavyosemwa katika Surah Al-Hajj, Aya ya 19:"Hizi ni sehemu mbili zenye kugombana, ambazo ziligombana kuhusu Mola wao Mlezi. Basi wale waliokufuru watakatwa nguo za moto, na juu ya vichwa vyao yatamiminwa maji yenye kuchemka." (Qur'ani 22:19)
  • Majuto na Masikitiko:
    • Watu wa Motoni watajuta kwa kutokufuata mwongozo wa Mwenyezi Mungu na watakuwa na masikitiko makubwa kwa yale waliyoyafanya duniani. Katika Surah Al-Mulk, Aya ya 10, inasema:"Na walisema: Lau tungelisikia au tungelitafakari, tusingelikuwa katika watu wa Moto wa Jahannam." (Qur'ani 67:10)
  • Ukosefu wa Msaada:
    • Watu wa Motoni hawatapata mlinzi wala msaidizi. Watakuwa peke yao katika mateso yao. Katika Surah Al-Baqarah, Aya ya 86, inasema:"Hao ndio walionunua maisha ya duniani kwa Akhera, basi adhabu yao haitapunguzwa, wala hawatanusuriwa." (Qur'ani 2:86)
 
Iran nao kuna watu pale ni wa$3nge sana, mi hii habari nimepata nilivyoangalia na picha ya helicopter nikasema huyu mzee katangulia.

Iran na wao wafikie muda waache u$3ng3 pumb@v kabisa, yaani rais anabebwa na helicopter ipo kama tractor, ndege yenyewe haionekani hata kama inaweza kujihami ikitokea shambulizi.

Hao wanausalama ni wa$3ng3 tu, na kuanzia leo sitaki tena mijadala kuchangia huu upuuzi wa vita ya Israel na Iran.

Hao wayahudi ni wajanja sana, unakuta miaka kadhaa nyuma walifanya mchongo kupeleka vipuri vya hio ndege ambavyo wangeweza kuvi control remotely na ndege ika mis behave na kuanguka.

Mnafahamu mna maadui NATO, Israel na US, halafu mnampandisha mzee wa watu ndege ipo kama guta, hivi hao wana usalama wa rais wana akili?
Mijamaa mi$3ng3 kweli. Acha wafe m@t@k0 yao.
Shit.
Achana na Rais kupandishwa ngalangala. Swali langu lilikuwa kwanini maofisa wa Iran wamsafirishe Rais kwa helicopter kwenye hali mbaya ya hewa na mazingira magumu. Na kwanini Rais helicopter yake itafutwe zaidi ya masaa 16 bilabila mpaka Uturuki itoe msaada, wakati alipoanguka wanadai ni 600 miles kutoka mji mkuu. Hawako serious hawa maafisa
 
Ni uzembe tu,
Ni wazi vifaa vingi bado viko ktk service toka kuzinduliwa,ila linapokuja swala la kuhudumia VIPs nadhani vinaongezewa umakini.

Hawa jamaa wamepuyanga pakubwa.
Yap completely uzembe wao wenyewe, hakuna wa kumlaumu kwenye hili
 
Hee jana nimeona update ya Safe Landing na sijapata muda wa update
Now ndio najua
Ayotola Rais Rais yupo peponi na bikra zake 70 daa maisha yanaenda kasi wazee juzi hapa alikua anaua waandamanaji leo kalazwa yeye,

Hii Dunia tuikanyage kwa adabu mwenda kuzimu alikua jeuri sana kwa Raia wake!
 
Kwani ajali nyingine zote za ndege na helicopter zinakuwa na mkono wa Israel? Taarifa zinadai kulikuwa na hali ya ukungu katika eneo ambalo chombo kilikwenda, kwa hio huenda ikawa hali ya hewa imecha gia kusababisha ajali
Israel ilishasema! We will respond at the right time! Walikuwa wanamfanyia surveillance muda mrefu kaingia kwenye 18 zao wakampa za uso!😂😂😂😂
 
Taarifa za ndani za hivi zinasema,"Deal done"!
(Azerbaijan + Israel) vs Iran
 
Attachments

  • FB_IMG_1716196230178.jpg
    FB_IMG_1716196230178.jpg
    22.6 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1716195682350.jpg
    FB_IMG_1716195682350.jpg
    26.1 KB · Views: 3
Achana na Rais kupandishwa ngalangala. Swali langu lilikuwa kwanini maofisa wa Iran wamsafirishe Rais kwa helicopter kwenye hali mbaya ya hewa na mazingira magumu. Na kwanini Rais helicopter yake itafutwe zaidi ya masaa 16 bilabila mpaka Uturuki itoe msaada, wakati alipoanguka wanadai ni 600 miles kutoka mji mkuu. Hawako serious hawa maafisa
Nilimtizama Putin anaingia China na ile jet yake hapa juzi, yaani jamaa alivyoingia pale ulinzi ulikua si wa kitoto, escort ya kufa mtu pande zote walinzi wametapakaa na attention kwa chochote, nikasema kweli wapo serious.

Iran nakubali kuna mahala ni wazuri kwenye missiles tech n.k lakini kwenye usalama wa top officials wao jamaa hawapo serious kabisa.

Kifo cha General Suleiman, jamaa alipanda ndege ya abiria utasema raia anakwenda kwenye utalii.
Wanausalama wanashindwa kumuongoza mtu mkubwa kama yule na kumkataza asipande public transport.

Jamaa wa ajabu sana.

Kwa swali lako.
Jamaa hawapo serious kabisa na usalama wa viongozi wao hili lipo wazi.
Lakini ndio fundisho.
 
Back
Top Bottom