Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Msisahau Russia anaendelea na SMO kule ukraine. Vijiji na mitaa inazidi kuchukuliwa kwenye jimbo la kharkiv.

Uraaaah
 
Ayatollah na vikosi vyake amenishangaza sana, yaani Wana uwezo wa kurusha mamia ya makombora na drones kwenda Israel ila kurusha drone ku locate ajali ilipotokea mpaka wasaidiwe na uturuki? Wanaishia kupelekea ambulance karibu mia 200 msituni Bure kabisa haya majamaa.
 
Mifumo tu ya ile nchi ni upinzani mtupu watu ndani ya vitengo wamegawanyika sana kiitikadi wengi hawapendi ule Mfumo wa kiayotola sema tu wanatii kwa shingo upande just imagine yale mauaji na manyanyaso ya waandamanaji unadhani waliodhurika ni kina nani si ndugu zao kabisa wa huko mitaani?
Kiufupi leo mitaa yote ya Iran kuna sherehe na Sio msiba maana Mwendawazimu kaenda jitwalia Mabikira 70 kama alivyowafanya wenzie!
 
Imejulikana ilipo kwa kuonwa na drone ya Uturuki iliyokuwa na night vision camera. Hao Wairan walitumia massage zaidi ya 16 kuitafuta wakati drone ya Uturuki ilikuja usiku
Hayo masaa 16 yamepatinaje hali ya kuwa helicopter ilitoweka saa 11 za jioni na ikajulikana ilipo saa 4 za usiku?
Alafu likicho rahisisha kupatika kwa eneo la tukio ni simu iliyo trackiwa kupitia Satalaiti na sio drone.
 
Umedanganywa na Shehe fulani.
 
Naona unamuhubiri Mnyazi Mngu mwingi wa rehema 😂😂😂
 
"We Jewish community, once we cry take care!
Shalum Shalum,
SEFER MATTAI,
Hallelujah!
 
They could've just flown after the weather became clear.

A lot of people died flying in adverse weather conditions.

Even US Military Aircrafts with no sanctions crash during adverse weather conditions.

Trying to make things happen under any condition will always result in the chance of something going fatally wrong.
 
Ujasusi mzuri ni kufanya tukio na kufuta viashiria vyovyote vya kuhusika. Hivyo ukiafanikiwa unaweza kumaliza nchi zima ukiacha watuhumiana na kulaumiana wakati wewe unakula kuku kwa mrija.

Siamini kama ni ajali ya kawaida. Hadi ripoti ya uchunguzi wa kina sana ifanyike. Inataka kufanana na ile ya mzee Prigo wa Urusi. Sema hii inadhaminiwa na hali mbaya ya hewa. Hapo lazima wazame kwa kina zaidi ili kutoa taarifa ya kitaalam inayozingatia uwezekano wote wa hujuma kwenye ajali hiyo.
 
Kuhusisha hyo ajali naa israel ni UJINGA WA KIWANGO CHA RAMI.israel hana uwezo wa kumuia rais wa iran.hata wao wanajua hili. Sasa msiwape sifa ambazo hawana
Mbona yule mkuu wa Jeshi wa Iran alitunguliwa akiwa Iraq?. Sasa Kama mkuu wa Jeshi anatunguliwa ije iwe Rais?. Tena kwenye ukungu?. Israel mashujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…