Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Iran has not called this an accident,you are very mistaken.They at the very early stages of a thorough investigation into the matter.They have said every inch of the helicopters' wreckage will be forensically investigated to see if there is any foul play to.If there is foul play,heaven will break loose.
Nope sorry to inform you, seems like it, even kobe brayant suffered the same, the late vice president john garang suffered similar situation. All other reasons are just conspiracy theories
 
Huwezi kunielewa , uelewa wako mdogo Sana. Nielewe kwanza ndio uache kuuliza maswali ya kijinga. Ni kwamba Khaseem Suleiman ni mtu aliyekuwa ana fanya kazi kwa usiri Sana lakini akatunguliwa, sembuse ambaye yupo wazi?. Anaweza kuwa tracked? Uwe unaelewa.
Nimekuelewa ila wewe ndio hukunielewa.
Na umeonesha una uelewa mdogo sana.
Qassem Soleiman Iraq alipokua anafanya operation zake alikua sehemu ambazo ni easily detected na remoted.
Kambi za Qassem Soleiman Iraq zilikua zinatambulika ziko wapi na wapi,pia mizunguko yake ilikua sio ngumu kui monitor huko Iraq ilipo.
Rais yupo ndani ya nchi yake ambako kuna ulinzi na usalama kwasababu yupo ndani ya mipaka yake kwenye mamlaka zake ambako usalama ni mkubwa.
Unadhani ni rahisi kumdhuru mtu tena sio tu mtu bali kiongozi wa nchi akiwa ndani ya mipaka yake!?
Aiseee hii reasoning yako ni hatari!
 
Wagalatia akili huwa hawana kichwani.
Huyo Mungu hakuwaona kipindi cha Hitler na kipindi cha Ottoman empire akati wanachinjwa!?
halafu hawa jamaa walikuwa lowest of the low katika jamii karibu zote Europe na hata marekani mpaka Urusi. Walikuwa wanaishi wenyewe, na maisha yao yalikuwa biashara za kitapeli tapeli sana. Angalia hata Marekani ilikuwa kwenye kupangisha nyumba mijini walikuwa na notisi 'no blacks, italians or jews'
 
Heeeee!Kumbee!?
Nilikua sijui.
 
Wakristo mnajikomba bure tu kwa Israel, wenzenu waisrael wanawachukia kuliko nyie mnavyowachukia waislamu.
Lakini pia waislamu wa Tanzania wanajikomba bure kwa Iran. Uislamu wa Tanzania sio ule wa Iran. Ni madhehebu mawili tofauti kabisa.
Cha msingi watanzania tupendane bila kujali Imani zetu.
 
Back
Top Bottom