Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Malipo ni hapa hapa duniani, Iran ndiye mfadhili mkubwa wa vikundi vyote vya kigaidi duniani sasa naye kakutana na mbabe wake.Wenye Akili Kubwa hilo tulilitegemea na tumelijua jana ile ile tu. Shikamoo Israel Kudadadeki. Halafu wamekaa Kimya.