cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
ila Kamenei yupo mafichoni huko kwenye mahandaki.
Akiona haya, lazima aingie mafichoni....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila Kamenei yupo mafichoni huko kwenye mahandaki.
helicopter zikidondoka huwa zinaungua, watuambie iliungua au haikuungua? hakuna hata msemaji muirani wa mbagala humu jf wandugu?
kwani Iran hana uwezo kutengeneza helicopter zao? wakati drones na missiles wanaweza. poleni kwa msima.
Unawaamini Aljazeera!Mkuu ile chopper ilikuwa imechoka.....Hawa ni Aljazeera....
Sanctions likely played role in Raisi’s helicopter crash: Analyst
Independent aviation analyst and consultant Alex Macheras tells Al Jazeera it is likely that the decades-long sanctions against Iran have played a role in the helicopter crash because its fleet is old and deteriorating.
“The helicopter involved was acquired over 40 years ago. … Iran is home to the world’s oldest commercial aviation fleet. It is a similar scenario to those aircraft that are owned privately,” Macheras said.
About 2,000 Iranians have died in aircraft crashes since 1979, he added.
“This is a country that because of the sanctions has struggled to obtain spare parts. In aviation, spare parts are fundamental in order to provide adequate maintenance not least to young jets but especially to the older jets that need extra care,” Macheras said.
“When aircraft are not receiving the maintenance that is required, you end up in a territory that puts ultimately the lives of those on board an older aircraft at risk,” he added.
😅 😅 😅 😅
🤣🤣🤣helicopter zikidondoka huwa zinaungua, watuambie iliungua au haikuungua? hakuna hata msemaji muirani wa mbagala humu jf wandugu?
helicopter zikidondoka huwa zinaungua, watuambie iliungua au haikuungua? hakuna hata msemaji muirani wa mbagala humu jf wandugu?
Unawaamini Aljazeera!
God Bless Israel
Acha wwHuhitaji kuwa na ngozi ya kiarabu kuwa mwarabu, ni state of mind
kuna mbweha koko wamekuwa wakibweka humu kuwa iran inaunda yenyewe silaha zake, mara al shaheed, mara nini, sasa iweje itumie helkopta ya kizamani tena haikuitengeneza yenyewe?Asanteni sana BBC ( English Version ) kwa Kuichambua vilivyo Helicopter iliyofanya yake Jana. Kutwa tu Kupanga Mashambulizi dhidi ya Taifa Teule la Mungu la Israel huku ukiwasaidia Hamas na ukiungana na Lebanon, Syria na Yemen Kuishambulia Israel wakati Helicopter yako imeshazeeka na Kununua mpya kumekushinda.
Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu eti LAANA yake Mwenyezi Mungu isikupate?
Achana na Rais kupandishwa ngalangala. Swali langu lilikuwa kwanini maofisa wa Iran wamsafirishe Rais kwa helicopter kwenye hali mbaya ya hewa na mazingira magumu. Na kwanini Rais helicopter yake itafutwe zaidi ya masaa 16 bilabila mpaka Uturuki itoe msaada, wakati alipoanguka wanadai ni 600 miles kutoka mji mkuu. Hawako serious hawa maafisa
Kabonda,kapiga kimya hamna matangazo,watu wanalia huko.Wenye Akili Kubwa hilo tulilitegemea na tumelijua jana ile ile tu. Shikamoo Israel Kudadadeki. Halafu wamekaa Kimya.
Huyo unaye sema ana mdomo mchafu alisha kutongoza ww na mama yako akawaomba uchi ndo ukagundua kuwa ana mdomo mchafu?what amazes me ni kwamba, walijua hadi kati ya zile tatu, ipi yeye kapanda na yule waziri wa foreign mwenye mdomo mchafu. au kwasababu inajulikana, zikiwa tatu zimeongozana utaijua tu ipi ya ulinzi na ipi inalindwa. manake imedondoka ya kwake tu, zile zingine zimerudi home safely. na wanaogopa wakikubali kwamba kadunguliwa, wataonekana wao technolojia waliyokuwa wanatamba wanayo imefeli. wanaishia kusema, ni ajali ya kawaida. kawaida kivipi katika mazingira kama ayo?
chopa tatu zimeongozana, moja ya Rais, mbili za ulinzi kumzunguka, alafu inapigwa hadi inapotea, zile za ulinzi ziliuwa wapo hadi ipotee bila wao kujua waanze kuitafuta maporini vile? afu kule maporini nasikia kuna maumbwa mwitu kibao, si ukuta yemewatafuta zile pua. kwenye mtandao watu wanasema hadi waone sure ndio wajue umbwamwitu hawajawawekea chumvi na pilipili na kachumbari.
God Bless IsraelHuyo unaye sema ana mdomo mchafu alisha kutongoza ww na mama yako akawaomba uchi ndo ukagundua kuwa ana mdomo mchafu?
Jaribu kupunguza kejeli za kijinga kila mtu atakufa na wala hajui atakufa muda wala kifo cha aina gani, bora huyo kafa kwa ajali ,ww kifo chako inaweza kikawa baada ya kufumuliwa malinda na wanaume zaidi ya 6 baada ya kufumaniwa na mke wa mtu gest.
Au usishangae ww ambaye uko hapa unaandika uharo wa kudhihaki wengine hata kesho asubuhi usione mkaungana na hao unao wadhihaki.
Alafu kingine huyo siyo kiongozi wa kwanza kufa kwa ajali ya helicopter.wapo wengi zaidi ya 10 hivyo hiyo ni ajali ya kawaida
kaka, poleni tu kwa msiba. mtuambie tu mnasafirisha au mnazika palepale tehran.Huyo unaye sema ana mdomo mchafu alisha kutongoza ww na mama yako akawaomba uchi ndo ukagundua kuwa ana mdomo mchafu?
Jaribu kupunguza kejeli za kijinga kila mtu atakufa na wala hajui atakufa muda wala kifo cha aina gani, bora huyo kafa kwa ajali ,ww kifo chako inaweza kikawa baada ya kufumuliwa malinda na wanaume zaidi ya 6 baada ya kufumaniwa na mke wa mtu gest.
Au usishangae ww ambaye uko hapa unaandika uharo wa kudhihaki wengine hata kesho asubuhi usione mkaungana na hao unao wadhihaki.
Alafu kingine huyo siyo kiongozi wa kwanza kufa kwa ajali ya helicopter.wapo wengi zaidi ya 10 hivyo hiyo ni ajali ya kawaida
Nan alikuambia yeye ni Mwarabu? nenda shuleMwarabu akifa hakuna hasara
Kwa Tabia ya viongozi walivyo na wanavyo angaliwa si rahisi kama zipo hizo na Rais akapanda Bell ya Mwaka 1968.Huko.Kwa takwimu za masuala ya kijeshi Iran inamiliki Helicopter zaidi ya 125 bado hatujaweka za kiraia , kwa hiyo hizo zote unataka kuniambia ni kutoka Marekani?