Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

kwani Iran hana uwezo kutengeneza helicopter zao? wakati drones na missiles wanaweza. poleni kwa msima.

Mkuu amekewa overrated na Washia wa bongo.......ile nchi inapumulia machine....Pesa zote wametumbukiza kwenye drones na nuklia....akili yote iko huko.....
 
Unawaamini Aljazeera!

God Bless Israel
 
kuna mbweha koko wamekuwa wakibweka humu kuwa iran inaunda yenyewe silaha zake, mara al shaheed, mara nini, sasa iweje itumie helkopta ya kizamani tena haikuitengeneza yenyewe?
 
Yani mkaka mtanashati ukimcheki kwa nje kumbe kavaa boksa imetoboka, isitoshe ina miaka zaidi ya mitatu.
 
Ama kweli 1978,mpaka leo anapanda prezdent bila matengezo ,escort walipanda ambazo ziko imara
 

Wako active kwa kupambana na Wayahudi....Sio kwa mambo kama haya......Ila wamewaza hata kurudi na mabaki...

 
Huyo unaye sema ana mdomo mchafu alisha kutongoza ww na mama yako akawaomba uchi ndo ukagundua kuwa ana mdomo mchafu?

Jaribu kupunguza kejeli za kijinga kila mtu atakufa na wala hajui atakufa muda wala kifo cha aina gani, bora huyo kafa kwa ajali ,ww kifo chako inaweza kikawa baada ya kufumuliwa malinda na wanaume zaidi ya 6 baada ya kufumaniwa na mke wa mtu gest.
Au usishangae ww ambaye uko hapa unaandika uharo wa kudhihaki wengine hata kesho asubuhi usione mkaungana na hao unao wadhihaki.

Alafu kingine huyo siyo kiongozi wa kwanza kufa kwa ajali ya helicopter.wapo wengi zaidi ya 10 hivyo hiyo ni ajali ya kawaida
 
God Bless Israel
 
kaka, poleni tu kwa msiba. mtuambie tu mnasafirisha au mnazika palepale tehran.
 
Kwa takwimu za masuala ya kijeshi Iran inamiliki Helicopter zaidi ya 125 bado hatujaweka za kiraia , kwa hiyo hizo zote unataka kuniambia ni kutoka Marekani?
Kwa Tabia ya viongozi walivyo na wanavyo angaliwa si rahisi kama zipo hizo na Rais akapanda Bell ya Mwaka 1968.Huko.

Hizo takwimu Hebu ziweke hapa.
Watu hata drones za maana hawana ila makombora ya kurusha toka nchi moja kwenda nyingine wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…