FINISHMimi ni shetani kweli..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FINISHMimi ni shetani kweli..
Bro huo sio utani tizama vyombo vya habari uone.
Helikopta ya toka 1970 na maintanance imefanyiwa mara kadhaa sana.
Na wanasema "it is decades since the maintanance of the chopper".
Hi habari ilikuwa jana yani we utajijua kama kesho utaishi.Yupo salama kwenye pepo ya Allah
Sio ndege ya Rais!Kwani marekani haijawahi kupotea ndege?
Ni uzembe tu,Arm chair generals. White house wanatumia Sh-3 sea king, ambayo imekuwa introduced 1961. Wanatumia modernised black hawk helicopters ambayo imekuwa introduced 1979.
So helicopter za juzi au old? Uzamani wa helicopter si tatizo but jinsi gani mna zi maintain.
Helicopter iliyopata ajali bell UH-1N helicopter, introduced 1970s, and jeshi la marekani bado wanazitumia mpaka leo.
Uazamani au utunzaji ndio tatizo?
We are not responsible for the death of Iran president, Raesi. IDFKuna kitu....Hakukua hata na May Day....
No Mayday call from pilot indicates a ‘serious controllability issue’
Aviation analyst Kyle Bailey has told Al Jazeera the lack of communication from the helicopter pilot or another flight crew member left no doubt that there was a “serious controllability issue”.
He said that if a helicopter has a serious technical issue mid-flight, the pilot’s first task is to “keep the plane flying, and then communications would be second”.
Bailey added: “We basically didn’t see any communication … because the pilot was probably just so focused on landing the helicopter or keeping it in the sky.”
The analyst also explained: “It appears from the helicopter being in two parts that the tail rotor most likely was sliced off, and that would be a result of the main rotor blade impacting the tail.”
He said this would have been caused by aerodynamic forces created when the pilot was manoeuvring to land the helicopter or possibly because of a technical issue.
Another possibility, he said, is tail rotor failure.
“If we see that spiral motion where the helicopters kind of rotating 360 degrees, clockwise or counterclockwise, that could indicate that the tail rotor failed, and … would be out of control”.
Bailey said adverse weather conditions and mountainous terrain could also have contributed to the fatal crash.
Si ndio kajibu Leo Sasa.Hi mijutu sijui akili zao vipi kila kitu Israel imerogwa na Paulo 😄
Israel kashindwa jibu kipigo aende kupiga helicopter si vichaa hawa
Huo usafiri wenu ni WA fasta ila Sasa ikitokea ajali mnaungua kama mishkaki na mtazika majivu baada ya dna.Hatari sanaUkungu,mvua au mawingu pekee sio issue kabisa kwa ndege au helcopter kupaa,ishu ni dhoruba,upepo mkali.
Hali ambayo huwa haitabiriki.
Bro mbona unaropoka sana.Acha utani wewe muajemi kwa teknolojia alokuwa nayo, na mihela na miakili alopewa na allah kweli alishindwa kuifanyia maintenane hiyo chopper? dah si angenunua hata za za kichina, au kirusi basi kuliko kuzing'ang'ania hizo za US au angeenda kwa mchina amfyatulie vipuri vya hizo chopper maana mnasemaga mchina kampita mmarekani hivyo spare za chopper tu sio issue kwake.
Bro mbona unaropoka sana?Acha utani wewe muajemi kwa teknolojia alokuwa nayo, na mihela na miakili alopewa na allah kweli alishindwa kuifanyia maintenane hiyo chopper? dah si angenunua hata za za kichina, au kirusi basi kuliko kuzing'ang'ania hizo za US au angeenda kwa mchina amfyatulie vipuri vya hizo chopper maana mnasemaga mchina kampita mmarekani hivyo spare za chopper tu sio issue kwake.
Sacrificial lambIran ndege ya Rais imedondoka wamefika eneo la tukio baada ya masaa 16.
Wakati Kaskazini mwa India kule Ladakh ambapo wana mgogoro na China kuna milima mikali ni uwanda wa juu sana na ukungu ni almost kila siku ila huwa wanarespond haraka kwa ajari.
Marekani F-35 ilidondoka baharini wakatuma vifaa viiondoe kwenye sakafu ya bahari. Hawa Iran wanasingizia hali ya hewa mbaya. Au kuna mkono wa mtu.
Anyway apumzike kwa amani na FM piaView attachment 2994762
Ayatollah ni kiongozi mkuu, kama alivyokuwaMkuu naomba unieleweshe maana sielewi, rais wa sasa ndio anaitwa Raisi huyo kwenye picha? na huyu Ayatollah ni nani? maana hua nasikia sana jina la Ayatollah na nilijua ndie rais wa nchi, kama utawea naomba na picha za wote wawili, asante
Mkuu mbona umechafukwa hivi,Iran nao kuna watu pale ni wa$3nge sana, mi hii habari nimepata nilivyoangalia na picha ya helicopter nikasema huyu mzee katangulia.
Iran na wao wafikie muda waache u$3ng3 pumb@v kabisa, yaani rais anabebwa na helicopter ipo kama tractor, ndege yenyewe haionekani hata kama inaweza kujihami ikitokea shambulizi.
Hao wanausalama ni wa$3ng3 tu, na kuanzia leo sitaki tena mijadala kuchangia huu upuuzi wa vita ya Israel na Iran.
Hao wayahudi ni wajanja sana, unakuta miaka kadhaa nyuma walifanya mchongo kupeleka vipuri vya hio ndege ambavyo wangeweza kuvi control remotely na ndege ika mis behave na kuanguka.
Mnafahamu mna maadui NATO, Israel na US, halafu mnampandisha mzee wa watu ndege ipo kama guta, hivi hao wana usalama wa rais wana akili?
Mijamaa mi$3ng3 kweli. Acha wafe m@t@k0 yao.
Shit.
Kila mtu anawalaumu kwa hiki kitu.Iran nao kuna watu pale ni wa$3nge sana, mi hii habari nimepata nilivyoangalia na picha ya helicopter nikasema huyu mzee katangulia.
Iran na wao wafikie muda waache u$3ng3 pumb@v kabisa, yaani rais anabebwa na helicopter ipo kama tractor, ndege yenyewe haionekani hata kama inaweza kujihami ikitokea shambulizi.
Hao wanausalama ni wa$3ng3 tu, na kuanzia leo sitaki tena mijadala kuchangia huu upuuzi wa vita ya Israel na Iran.
Hao wayahudi ni wajanja sana, unakuta miaka kadhaa nyuma walifanya mchongo kupeleka vipuri vya hio ndege ambavyo wangeweza kuvi control remotely na ndege ika mis behave na kuanguka.
Mnafahamu mna maadui NATO, Israel na US, halafu mnampandisha mzee wa watu ndege ipo kama guta, hivi hao wana usalama wa rais wana akili?
Mijamaa mi$3ng3 kweli. Acha wafe m@t@k0 yao.
Shit.
Kwaweli hawa wavaa makobazi wanacĥekesha! Msafara wa Rais wao ulikuwa na helicopter 3! Ya Rais tu ndo ilipata kimbunga ikaanguka nyingine zikafika salama😂😂😂😂😂Afu wenzao hawakusimama, wakaendelea hadi base.
Nina amini hao wote wako sehemu salama wakieleza kwanini sio wao
Lete sehemu nilopiga propaganda?Nimetizama, na nikweli umepiga propaganda usiku kucha jana
😂😂😂😂Wabongo bwana.Kosa kubwa ililofanya Iran ni kurusha yale mabobu kwa Israel ,wakubwa huwa hawachezewi sharubu ukiwachezea watajifanya wamekaa kimya kumbe wananakulia timing ikukumbuka yule jamaa ayetaka kwenda Moscow kumpindua Putin akijitamba ilikuwaje na huyu rais wa Iran imekuaje ...don't mess with giants just play smart.
Iran nao kuna watu pale ni wa$3nge sana, mi hii habari nimepata nilivyoangalia na picha ya helicopter nikasema huyu mzee katangulia.