Ramadhan Special Thread

Hadithi hiyo ya kugawanyika umma kuwa ni rahma sio sahihi. Ni maudhwuuu(uongo).
Kwani kinyume chake itakuwa 'ijtimaai ummatii naqma'
ni kweli mkuu ila hayo mambo si mahali pake hapa na na zaidi anachojaribu kushauri dimaa ni kuwa tuwe kitu kimoja na tuisome ili tuelewe dini inataka nini kutoka kwetu, kwani Allah (s.w) yeye haangilii itikadi yako unamfata/haumfuati nani yeye anaangalia taqwa

''Enyi mlioamini mcheni Mwenyezi Mungu haki ya kumcha na msife isipokuwa mumekuwa waislamu kamili''
''Na shikamaneni na kamba(dini) ya Mwenyezi Mungu wala msiachane..
..(Q 3:102-103)
 
MashaAllah
 
Shukrani akhii. Mimi kwa upande wangu, nimepanga kwa uwezo wa Allah, Kumi la kwanza niwaalike ndugu zangu wa kwenye uzi huu, Futari hasa hasa wanaoishi Dar Es Salaam.Tushauriane juu ya wapi sehemu yenye stara, gharama nafuu n.k
Nawaombeni maakhii bila kuharibu uzi huu adhimu, watakaoshiriki. wajitaje:Mfano nitahudhuria InshaaAllah no1 nk
 
Mimi nitahudhuria Inshaalah

Asalam alykum warahma tullah wabarakatuh...Ndugu zangu waislam wengine tuko nchi za kikafiri tunaomba mungu awaongoze mtupe dawah kupitia uzi ...ikiwezekana kila mkipata muda inshallah.... tukumbusheni mema ktk dini yetu, kwa hili mwenyezi mungu atawalipa mengi sana ktk maisha yenu na siku ya malipo........
 
Insha Allah tunaanza swaumu kesho, na kwa sababu sisi wengine tuko edict na JF , insha Allah nafunga ku visit JF pia ili kujiepusha na mambo mengi yanayoweza tengua swaumu yangu maana najijua mwenyewe!!
 
TUOMBE MUNGU AMUONGOZE JPM KTK KAZI ZAKE MWEZI HUU NA KTK MAISHA YETU YOTE KAMA WATANZANIA
 
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kuaga wengine kwa muda wengine mojakwamoja, nauliza JF ni haramu au dhambi hasa kwenye hichi kipindi cha Ramadhani?
 
Nawaombeni maakhii bila kuharibu uzi huu adhimu, watakaoshiriki. wajitaje:Mfano nitahudhuria InshaaAllah no1 nk
Na mie nimo mkuu usinisahau ,nakosaje kwa mfano?????

NA KWA WAISLAMU WENGINE WOTE TAFADHALI KAMA UTAPATA MDA,
NI HAKI KUMUITIKIA MUISLAMU MWENZAKO AKIKUALIKA!!!
PIA HII PICHA MKUU ISIKUTISHE TUPO TAYARI HATA UKITUANDALIA UJI NA TENDE
ILA PIA KAMA UMEJIPANGA KWA BIRYAN NA KUKU TUTASHUKURU ZAIDI
cc
Ndugu yangu wa dhati IRIOKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…